Tuesday, 22 April 2014

UVCCM: Green Guard iwashughulikie Ukawa ikiwa...


 
Na Waandishi Wetu, Mwananchi

Posted  Jumanne,Aprili22  2014  saa 24:0 AM
Kwa ufupi
Alisema viongozi wa Ukawa wamekuwa wakiwatukana waasisi wa Muungano; Mwalimu Julius Nyerere na Shekh Abeid Karume hata nje ya Bunge ambako hawana kinga.

Saturday, 12 April 2014

Taarifa kamili ya Tundu lisu iliyokatishwa na TBC , Ni taarifa yenye nyaraka zote za muungano ulivyochakachuliwaSATURDAY, APRIL 12, 2014

MAONI YA WAJUMBE WALIO WA WACHACHE KATIKA KAMATI NAMBA NNE KUHUSU SURA YA KWANZA NA SURA YA SITA YA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA [Kanuni ya 32(4) ya Kanuni za Bunge Maalum, 2014]

UTANGULIZI
Mheshimiwa Mwenyekiti,