Mkuu
 wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro  Bonifasi Mbao  
akizungumza kwenye  eneo la tukio amesema chanzo cha ajali  hiyo ni 
mwendo kasi ambapo dereva wa basi  gari  ilimshinda na kugonga mtembea 
kwa miguu na kisha kupinduka ambapo  dereva wa basi amekimbia mara baada
 ya tukio la ajali
Taarifa
 za  madaktari  katika hospitali ya Mkoa wa Morogoro  zimeeleza  
majeruhi wanaendelea na matibabu na mwili wa marehemu umehifahiwa katika
 chumba cha maiti hospitali ya mkoa wa morogoro .source: ITV