From Est Africa Redio:
Mwanajeshi Private Hugo Munga aliyejeruhiwa katika shambulio lililomuua
Meja Khatibu huko DRC , nae amefariki akiwa Afrika Kusini kimatibabu.
Mwili wa Private Hugo Munga utasafirishwa kesho kuja nchini Tanzania ukitokea Afrika Kusini