Bajeti : Ushuru wapiga hodi kwa watumiaji fedha kwa simu,ahueni kwa wamiliki wa bodaboda, Kenya yaongoza ukanda EAC
TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO
Friday, 14 June 2013
Kenya yaongoza bajeti EAC, Rwanda na Uganda nao wamo
Bajeti : Ushuru wapiga hodi kwa watumiaji fedha kwa simu,ahueni kwa wamiliki wa bodaboda, Kenya yaongoza ukanda EAC
Bajeti : Ushuru wapiga hodi kwa watumiaji fedha kwa simu,ahueni kwa wamiliki wa bodaboda, Kenya yaongoza ukanda EAC
Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa akiingia bungeni Dodoma jana kusoma hotuba ya Bajeti. Picha na Fidelis Felix.
Dar na Dodoma: Serikali jana ilitangaza Bajeti
yake kuu kwa mwaka wa fedha 2013/14 ambayo inaashiria machungu kutokana
na ongezeko la kodi na ushuru katika baadhi ya bidhaa, zikiwamo mafuta,
soda, vinywaji vikali pamoja na leseni za magari.
Thursday, 13 June 2013
So Lovely, so excited. Thanks for following us, continue being with us
| Entry | Page views |
|---|---|
Norway
|
245
|
Tanzania
|
104
|
United States
|
50
|
Germany
|
25
|
United Kingdom
|
15
|
Japan
|
5
|
France
|
4
|
Ireland
|
4
|
Sudan
|
4
|
Brazil
|
3
|
Wednesday, 12 June 2013
NEW PICTURE SLIDE
Kutokana na malalamiko yaliyokuwepo hapo awali video ya picha hizi imekuwa edited tena. Video hii haipatikani youtube tena na inabaki kuwa mali ya TASAO. Unaruhusiwa kuinakili kwa ajili ya kumbukumbu zako binafsi ila si kwa ajilli ya kuiweka public. Asante.
PRO
kagasheki auliza unatetea vipi kontena lenye meno ya ndovu na origin yake ni dar?
Waziri Khamis Kaghasheki kwenye video iiyopachikwa hapo chini, anasema na kuhoji:
Unaieleza vipi, na unatetea vipi, kontena lenye meno ya ndovu, wanakwambia kwamba origin yake ni bandari ya Dar es Salaam. Pale bandarini, kuna vyombo mbalimbali --kuna polisi, kuna customs TRA, kuna watu wa pori wenyewe, kuna watu wa usalama, na kadhalika -- kontena linatoka na meno ya ndovu, linakwenda kukamatiwa Hong Kong, linakwenda kukamatiwa Philippines, linakwenda kukamatiwa Vietnam. Kama yapo masuala ya msingi jamani tujiulize, kontena linatokaje? Utaratibu ni upi wa kontena kutoka nchini? Tusaidiane. It is risky, kuna pesa nyingi, lakini some people inabidi wafanye wanavyo weza kufanya for the future of the country lakini pia vizazi vijavyo, vitatuhukumu kwa...
Bofya link hapoo chini yenye video umsikilize
Unaieleza vipi, na unatetea vipi, kontena lenye meno ya ndovu, wanakwambia kwamba origin yake ni bandari ya Dar es Salaam. Pale bandarini, kuna vyombo mbalimbali --kuna polisi, kuna customs TRA, kuna watu wa pori wenyewe, kuna watu wa usalama, na kadhalika -- kontena linatoka na meno ya ndovu, linakwenda kukamatiwa Hong Kong, linakwenda kukamatiwa Philippines, linakwenda kukamatiwa Vietnam. Kama yapo masuala ya msingi jamani tujiulize, kontena linatokaje? Utaratibu ni upi wa kontena kutoka nchini? Tusaidiane. It is risky, kuna pesa nyingi, lakini some people inabidi wafanye wanavyo weza kufanya for the future of the country lakini pia vizazi vijavyo, vitatuhukumu kwa...
Bofya link hapoo chini yenye video umsikilize
Source: http://www.wavuti.com/4/post/2013/06/kagasheki-auliza-unatetea-vipi-kontena-lenye-meno-ya-ndovu-na-origin-yake-ni-dar.html#ixzz2VyomHI8b
Lwakatare apata dhamana, Ludovick aendelea kusota Mahabusu.
Kwa ufupi
Hakimu huyo pia aliwataka washtakiwa
kusalimisha hati zao za kusafiria mahakamani na kutokutoka nje ya Dar es
Salaam bila ya kuwa na kibali cha Mahakama.Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare (mbele) akisindikizwa na wafuasi wa chama hicho kutoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam jana baada ya kuachiwa kwa dhamana. Picha na Venance Nestory
Hali ya Mzee Mandela ni tete, wasiwasi watanda, familia yake yaanza kurejea Afrika kusini
Posted Jumanne,Juni11 2013 saa 21:32 PM
Kwa ufupi
- Mwanaye wa kwanza, Zenani Mandela-Dlamini ambaye ni Balozi wa Afrika Kusini nchini Argentina amewasili Pretoria kufuatilia hali ya baba yake aliyelazwa hospitali Jumamosi iliyopita.
CCM yakataa Muundo wa serikali tatu
Kwa ufupi
Habari ambazo gazeti hili ilizipata zinasema
katika kikao hicho cha CC kulijitokeza hofu ya suala la wananchi kuwa na
mamlaka ya kuwang’oa wabunge ikiwa hawatatekeleza masilahi yao na
kwamba pendekezo hilo lina upungufu kwani halitafsiri masilahi hayo ni
yapi.Tuesday, 11 June 2013
Hatimaye Mkurugenzi wa usalama na ulinzi Nd. W. Lwakatare CHADEMA kupata dhamana leo
Hatimaye
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Muganyizi Lwakatare
leo atapata dhamana na kurudi uraiani, baada ya Mahakama ya Kisutu
kuamua kuwa dhamana yake iko wazi na sasa masharti tu ndiyo
yanakamilishwa.
Mkurugenzi wa Habari wa CHADEMA, Tumaini Makene
anadai jaribio la watawala kwa kutumia vyombo vya dola, kutaka
kukichafua kwa kukipaka matope ya ugaidi na mauaji chama chao
limeshindwa vibaya.
Hatimaye Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Kamanda Wilfred Muganyizi Lwakatare 'Lwaks' leo
atapata dhamana na kurudi uraiani, baada ya Mahakama ya Kisutu kuamua
kuwa dhamana yake iko wazi na sasa masharti tu ndiyo yanakamilishwa.
Lwakatare anapata dhamana, huku jaribio la watawala kwa kutumia vyombo
vya dola, kutaka kukichafua kwa kukipaka matope ya ugaidi na mauaji
CHADEMA likiwa limeshindwa vibaya.
It's has been a battle, very seriuos battle, legally and politically, of
almost three months. Bungeni, kwenye majukwaa ya siasa na mahakamani.
Fighting for justice, hopes and dignity of being.
And the battle still goes on. Aluta continua.
Mapambano yataendelea kwa sababu sasa tunaanza kuamini kuwa akina
Hitler, Botha na wengine wa namna hiyo bado wanaishi kwa namna nyingine,
kupitia baadhi ya watu waliokabidhiwa madaraka ya kuongoza lakini
wameamua kutawala.
Usikubali kufumbia macho uonevu wowote, mahali popote, kwa mtu yeyote.
Ukikaa kimya leo, akina Hitler wetu hawa wa zamu zetu, watakapokufikia
wakati wa 'zamu' yako hakutakuwa na mtu wa kukusemea.
Ni muhimu makamanda wasimame kwenye haki, utu, upendo, kweli na
matumaini kwa ajili ya Watanzania hawa wanyonge. Mengine yote yatafuata.
Asanteni kwa kuonesha nguvu ya umma (people's power) kwa kufuatilia
suala hili tangu siku ya kwanza na hadi litakapofika mwisho kwa namna
nyingine linavyoendelea sasa mahakamani.
Tunaanza Mungu, tunaendelea Mungu, tutamaliza na Mungu...
Makene.
Imenukuliwaa kutoka: www.jamiiforum.com
Marekani yataja sababu nne za Obama kuja Tz
Kwa ufupi
Alisema kuwa Tanzania ni nchi ya mfano
linapokuja suala la uongozi bora na ndiyo maana imekuwa na amani na
utulivu kwa muda mrefu ikilinganishwa na nchi nyingi za Kusini mwa
Jangwa la Sahara.Dar es Salaam. Marekani imetaja sababu nne ambazo zimemfanya
Rais Barrack Obama kuijumuisha Tanzania katika ziara yake ya bara la
Afrika.Sunday, 9 June 2013
SPEECH BY Dr. A. Lwaitama
NAFASI YA VIJANA WASOMI WA TANZANIA NA KATIBA MPYA
(RASIMU YA KATIBA) KWENYE MAENDELEO YA TANZANIA
Na
Mwalimu Azaveli Lwaitama
+255784432696
Ndugu Watanzania mliokusanyika hapa Oslo leo
Ndugu marafiki wa Wantanzania mlipo katika sherehe
hii,
Kwanza naomba
niwashukuru kwa kunipa mwaliko wakuhudhuria sherehe yenu bila kuchangia
chochote. Nasikitika na naomba
kusamehewa kwa kukosa kuwepo uso kwa uso ingawa hotuba hii inawaonesha nipo
nanyi kiroho. Nasikitika kukosa kuwepo
uso kwa uso maana niliambiwa kutakuwepo chakula kingi na vinyaji vya kutosha na
mimi kwa msosi ndio mwenyewe, bia na
mvinyo pia nakunywa ingawa hulewa mapema
na kuanza kusinzisinzia.
Thursday, 6 June 2013
Rasimu ya katiba mpya yavuruga mbio za wanasiasa kuwania Urais 2015
Dar es Salaam/Dodoma: Mapendekezo yaliyotolewa katika Rasimu ya Katiba Mpya na Tume ya Marekebisho ya Katiba yamewavuruga wanasiasa ambao tayari walikuwa wamejipanga kwa ajili ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Mwananchi limebaini.
Subscribe to:
Posts (Atom)