TANZANIA STUDENTS ASSOCIATION OSLO

TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO

▼
Monday, 7 April 2008

MKUTANO MKUU KATIKA PICHA - 29.03.2008

›
Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa TASAO, 2008 katika picha: Sehemu ya Wajumbe wa mkutano ...

BAADA YA MKUTANO MKUU

›
Mkutano mkuu ulifanyika vizuri na kwa mahudhurio ambayo kwa kweli yaliridhisha sana. Kwa kifupi agenda zote zilijadiliwa vizuri na kukubaliw...
Thursday, 20 March 2008

MKUTANO MKUU WA WANACHAMA WOTE

›
Kutakuwa na mkutano mkuu wa wanachama wote na wanafunzi wapya. Mahali: Norges Idrettshøgskole - Sognsvann (Sports School) Tarehe: 29.03.2008...
Tuesday, 12 February 2008

Baraza Jipya la Mawaziri - Tanzania - 12.Feb. 2008

›
Rais JK ametangaza Baraza jipya la mawaziri, baada ya kuvunja baraza la mawaziri ya kufuatia Edward Lowasasa kujiuzulu baada ya kukumbwa na ...
Thursday, 7 February 2008

BREAKING NEWS!!!!!

›
Mh.. EDWARD LOWASA (PM) HABARI TOKA DODOMA SASA HIVI ZINASEMA KUWA SPIKA WA BUNGE MH. SAMWEL SITTA AMETANGAZA KWAMBA MHESHIMIWA EDWARD...
Wednesday, 6 February 2008

Mambo ya RICHMOND hayooooooo!!!

›
Jengo jipya la Bunge Dodoma Haya sasa ile ripoti ya ubadhilifu wa mamilioni ya fedha za walalahoi sakata la Richmond hii hapa! Kong'oli...
Monday, 3 December 2007

ADA YA KILA MUHULA

›
Salamu kwa wote! Mnakumbushwa kuhusu kuwakilisha ada za uanachama za kila muhula kwa mhazini wetu. Kama hutaweza fanya hivyo, waweza mpatia ...
Friday, 9 November 2007

INVITATION

›
Reception and Meeting with Zambia’s Former President Dr. Kenneth D. Kaunda Wednesday 14 NOVEMBER 1800 – 1930 VoksenÃ¥sen Oslo Ullveien 4, 07...
Tuesday, 16 October 2007

'Sex Play' in kindergartens - Watanzania mpooh!!

›
Norwegians woke up Tuesday morning to news that a respected Oslo pre-school teacher, backed by child psychologists, thinks children should b...
Wednesday, 5 September 2007

SHUKRANI KWA FARAJA ZENU

›
Hi TASAO! Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru wote kwa kunifariji katika kipindi hiki kigumu cha kufiwa na mama yangu mzazi ambaye aliaga...
Tuesday, 7 August 2007

Kwa wanaopenda kujiendeleza kielimu!

›
MSc & PhD study opportunities in Norway! The government of Norway provides sponsorship to over 500 students from the developing world fo...
Monday, 18 June 2007

SHEREHE MAALUM YA KUWAAGA WANA TASAO WANAOREJEA NYUMBANI BAADA YA MASOMO YAO - 30.04.2007

›

›

›

›

›

›

›

›

›
‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.