DOHA:
Qatar has reportedly purchased the human rights organisation Amnesty
International, less than a day after it published a damning report into
the country’s construction sector as work begins on stadiums for the
2022 World Cup.
While financial details of the deal have not been revealed, experts
have suggested that move is an economically shrewd one by the gas-rich
Gulf state.
By BEATRICE MOSES for The Citizen | Tuesday, November 19
2013 at
07:49
Tanzania President Jakaya Kikwete (centre) smiles as he sits among other
Commonwealth heads of state before a working session at the
Commonwealth Heads of Government Meeting (CHOGM) in Colombo on November
16, 2013. Tanzania has been urged to speed up its fight against mega
corruption. PHOTO | AFP
We
cannot deny that there are some fundamental differences between men and
women – from how we are socialized to the chemical and hormonal
differences that naturally occur. Thus, I thought it appropriate to
write this post on the differences between dating a girl vs a woman.
Many points on this post would apply if you switched the genders around.
Libya's army is deploying on the streets of Tripoli in an effort to
wrestle back control of events that spiralled out of control and into
violence over the weekend. An uneasy calm has settled over the city.
As the country prepares for funerals and burial of
the late Dr Sengondo Mvungi this weekend up to Monday, the rest of us
are locked in reflection on his life and career, to discover how rich it
was and the gap that remains.
Nape licha ya kukiandama Chadama alisikitika hakuna waziri wa kilimo aliyewahi kwenda mkoani Ruvuma.
Songea. Katibu wa Itikadi na
Uenezi wa CCM, Nape Nauye amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa nchini
kukifuta Chadema kwa madai kuwa, kimeshindwa kusimamia katiba yake kwa
kutofanya uchaguzi wa ndani zaidi ya miaka zaidi ya kumi.
WAKATI hatima ya kutiwa saini mkataba wa amani kati ya Serikali ya DRC
na waasi waliosambaratishwa wa M23 ikiwa haijulikana, uhusiano wa
maswahiba wawili wa eneo la Maziwa Makuu, Rais Yoweri Museveni wa Uganda
na Paul Kagame wa Rwanda umetikisika baada ya Museveni kumtaka mwenzake
huyo azungumze na waasi. Ni ushauri kama huo aliopewa Kagame Mei
mwaka huu na Rais Jakaya Kikwete ukilenga kuleta na kuimarisha amani
Mashariki mwa Congo ndio ulioyumbisha uhusiano kati ya Tanzania na
Rwanda, kabla ya Kikwete kuifafanua na kisha kukutana na Kagame jijini
Kampala, Uganda Agosti mwaka huu.
Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virus
MBUNGE wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), ameingia katika
matata. Katika kujaribu kudhibiti mtoto wa shule ambaye anadai alibakwa
naye na kuambukiwa virusi vya ukimwi, mbunge huyo ametoa vitisho vya
kuua mtoto huyo na kujiua kama njia ya kuepuka dhahama inayoelekea
kumkabili.
*Dk. Nchimbi atangaza kuundwa kwa divisheni mpy aya uhalifu MATUKIO
ya kutekwa na kujeruhiwa, Dk. Sengondo Mvungi, Absalom Kibanda naDk.
Stephen Ulimboka, yamelazimisha Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuunda
Divisheni mpya ya Kiitelejensia.
MAJESHI ya Umoja wa Mataifa (UN) na brigedi maalumu ya majeshi ya
Afrika yanasubiri amri ya kuanza kuvishambulia vikosi vya jeshi la
msituni vya Allied Democratic Forces (ADF)) cha Uganda na kile cha
Democratic Forces for the Liberation of (FDLR) cha Rwanda ambavyo
vimekua vikifanya mashambulio kaskazini mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya
Kongo (DRC).
Akizungumza kwa niaba ya familia ya Samizi
nyumbani kwake, Tegeta Dar es Salaam, Katibu Mkuu msataafu wa CCM, Yusuf
Makamba alisema maziko yatafanyika leo baada ya swala ya adhuhuri.
Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuongoza maziko ya Mkuu wa zamani wa
Wilaya mbalimbali nchini, Mussa Samizi aliyefariki Dar es Salaam, juzi.
A Pakistani living legally in the United
States has been charged with attempting to join an al- Qaeda in Syria
after falling for an FBI sting, the Justice Department said,
Basit
Javed Sheikh, 29, contacted an undercover FBI agent, believing him to
be a member of Jabhat al-Nusra, which the State Department identifies as
a terrorist organisation.