Tuesday, 22 June 2010

Tafriya ya kuwaaga wana-TASAO waliohitimu masomo yao May 2010














4 comments:

Anonymous said...

Ama Hakika nimefurahi kuwaona Tasao mmeanza tena kublog,na for sure Graduation ilipendeza saaaaaana.Hongera sana pamoja Daima!

Anonymous said...

nami naunga mkono, hongera mnaoendelea kuifufua. Tusonge mbele kwa pamoja

Kaziyabure said...

Baab Kubwa, Kazi nzuri Bi President Cathy na wana TASAO wote.

Maranatha said...

Huu ni mwanzo mwingine mpya mzuri na wenye muelekeo wa kimaendeleo. Songeni mbele wakuu ngoma ndo inogile sasa, msiweke silaha chini mpaka kieleweke. Wakuu Cyprian Hilinti, Mangi na Dada Paulina vipi jamani, ndo kusema kuku Horns wameanza kujibu au kuna kingine??? Maana naona shavu kama dodo vile!!!! JOHN