Usafiri wetu ni ule ule, ila aina ya gari hubadilika kutokana na mazingia na hali ya barabara
Safari yangu ilikuwa ndefu sana, hapa Naingia Mbeya kutokea Tabora
Hivi ndivyo tunavyosafiri tukiwa makwetu, Bora kufika.
Picha 1, 2 Hapa ndio katikati ya Tanzania. Jiwe hili limewekwa alama hapo juu kabisa kuashiria hivyo, Aliniarifu mzee mmoja aliyekuwa mwenyeji wangu.
1 comments:
I like this
Post a Comment