Thursday, 15 July 2010

Wanyamapori ni rasilimali kwa watanzania wote, lazima tuilinde

Enzi za Mababu: ukiwa porini unalazimika kuwasha moto kwa kupekecha vijiti. Hata tunakutana na mwenyeji wa pori hili, mzee wa kimasai na tunaomba kibiriti ili tuwashe moto. Jibu tulilopata hatukuamini, mara tukapewa moto kwenye fungu la kinyesi cha punda. Upekechaji ulichukua takribani dakika tano tu.

Short Grass Plains on Serengeti.

Nasera Rock. The biggest rock on the Serengeti Plains, it is a nice place for camping safaris.

Eland - The largest antelope, on the serengeti plains

2 comments:

Kaziyabure said...

Bwana Moderator wa Blog ya TASAO.

Hii ni nini maudhui ya Blog hii?? Mbona mnapost vitu ambavyo ni tofauti na ambavyo mimi binafsi nadhani haviendani na dhana nzima ya Blog ya TASAO.

Wana TASAO wangeweza kuitumia vizuri Blog hii kama taarifa zingekuwa ni zile za kuwanufaisha, kwa mfano taarifa za nafasi za ufadhili wa masomo, jinsi ya kuishi kama mwanafunzi Oslo(hii kwa wanafunzi wapya), nafasi za kazi kwa wanafunzi na jinsi ya kuomba sehemu mbalimbali Oslo, sheria tofauti za Norway, mabadiliko ya hali ya hewa na mambo kama hayo, matukio mbali mbali yawahusuyo au yenye faida kwa wanafunzi waishio Oslo na kadhalika.

Kwa sasa hivi Blog imekaa kama ni yako Bwana au Bibi Moderator unaweka taarifa zikupendezasho wewe na safari zako binafsi. Nadhani mambo kama hayo ungeanzisha Blog yako na kuweka taarifa kama hii ya safari ya huko kwenu hapa si mahali pake.

Jaribu kuichachua Blog hii kwa faida ya wana TASAO Tafadhali!

Anonymous said...

Hellooo Tasao web moderator pamoja na aliye toa maoni hapo juu. Niseme tu kwamba nimefurahi kuona hii webpage imeendelezwa japo hata kwa picha. Mimi ndo niliye-iconfigure mwezi wa tatu 2007, na post nyingi za mwanzo nilizipost mwenyewe kabla ya kuondoka Norway. Hapo katikati ni kama ilikufa -no post no nothing- I should (without fear or favour) thank the guy who revived it. Go on with whatever you have - people will have to comment just like the guy above -this is recommended for afterall it shows they surf the blog. Goodluck guys,

Joshua Mhalila,
Newcastle, Australia