Tatizo la Upatikanaji wa Maji 
safi na salama nchini Tanzania ni moja ya mada zinazojadiliwa sana punde
 zinaposikika katika Makala ya Haba na Haba redioni.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba maji ni bidhaa 
adhimu kwa maisha ya binadamu na upatikanaji wake imekuwa ni shida kwa 
maeneo mengi nchini humo.Haba na Haba Tv ilisafiri mpaka mkoani Tanga wilayani pangani kuona namna wananchi wa huko wanavyohangaika kila kuchao kutafuta maji.
SOURCE: BBC
 
 
   
  
 


