Sunday, 19 January 2014

Uhaba wa maji TZ
Tatizo la Upatikanaji wa Maji safi na salama nchini Tanzania ni moja ya mada zinazojadiliwa sana punde zinaposikika katika Makala ya Haba na Haba redioni.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba maji ni bidhaa adhimu kwa maisha ya binadamu na upatikanaji wake imekuwa ni shida kwa maeneo mengi nchini humo.
Haba na Haba Tv ilisafiri mpaka mkoani Tanga wilayani pangani kuona namna wananchi wa huko wanavyohangaika kila kuchao kutafuta maji.

SOURCE: BBC