Wednesday, 12 June 2013

kagasheki auliza unatetea vipi kontena lenye meno ya ndovu na origin yake ni dar?

Picture
Waziri Khamis Kaghasheki kwenye video iiyopachikwa hapo chini, anasema na kuhoji:

Unaieleza vipi, na unatetea vipi, kontena lenye meno ya ndovu, wanakwambia kwamba origin yake ni bandari ya Dar es Salaam. Pale bandarini, kuna vyombo mbalimbali --kuna polisi, kuna customs TRA, kuna watu wa pori wenyewe, kuna watu wa usalama, na kadhalika -- kontena linatoka na meno ya ndovu, linakwenda kukamatiwa Hong Kong, linakwenda kukamatiwa Philippines, linakwenda kukamatiwa Vietnam. Kama yapo masuala ya msingi jamani tujiulize, kontena linatokaje? Utaratibu ni upi wa kontena kutoka nchini? Tusaidiane. It is risky, kuna pesa nyingi, lakini some people inabidi wafanye wanavyo weza kufanya for the future of the country lakini pia vizazi vijavyo, vitatuhukumu kwa...

Bofya link hapoo chini yenye video umsikilize

Source: http://www.wavuti.com/4/post/2013/06/kagasheki-auliza-unatetea-vipi-kontena-lenye-meno-ya-ndovu-na-origin-yake-ni-dar.html#ixzz2VyomHI8b

Lwakatare apata dhamana, Ludovick aendelea kusota Mahabusu.



Kwa ufupi
Hakimu huyo pia aliwataka washtakiwa kusalimisha hati zao za kusafiria mahakamani na kutokutoka nje ya Dar es Salaam bila ya kuwa na kibali cha Mahakama.
 
 
 Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare (mbele) akisindikizwa na wafuasi wa chama hicho kutoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam jana baada ya kuachiwa kwa dhamana. Picha na Venance Nestory

Hali ya Mzee Mandela ni tete, wasiwasi watanda, familia yake yaanza kurejea Afrika kusini


Posted  Jumanne,Juni11  2013  saa 21:32 PM
Kwa ufupi
  • Mwanaye wa kwanza, Zenani Mandela-Dlamini ambaye ni Balozi wa Afrika Kusini nchini Argentina amewasili Pretoria kufuatilia hali ya baba yake aliyelazwa hospitali Jumamosi iliyopita.

CCM yakataa Muundo wa serikali tatu


Kwa ufupi
Habari ambazo gazeti hili ilizipata zinasema katika kikao hicho cha CC kulijitokeza hofu ya suala la wananchi kuwa na mamlaka ya kuwang’oa wabunge ikiwa hawatatekeleza masilahi yao na kwamba pendekezo hilo lina upungufu kwani halitafsiri masilahi hayo ni yapi.
 
 

Tuesday, 11 June 2013

Hatimaye Mkurugenzi wa usalama na ulinzi Nd. W. Lwakatare CHADEMA kupata dhamana leo

Hatimaye Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Muganyizi Lwakatare leo atapata dhamana na kurudi uraiani, baada ya Mahakama ya Kisutu kuamua kuwa dhamana yake iko wazi na sasa masharti tu ndiyo yanakamilishwa.

Mkurugenzi wa Habari wa CHADEMA, Tumaini Makene anadai jaribio la watawala kwa kutumia vyombo vya dola, kutaka kukichafua kwa kukipaka matope ya ugaidi na mauaji chama chao limeshindwa vibaya.
 Hatimaye Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Kamanda Wilfred Muganyizi Lwakatare 'Lwaks' leo atapata dhamana na kurudi uraiani, baada ya Mahakama ya Kisutu kuamua kuwa dhamana yake iko wazi na sasa masharti tu ndiyo yanakamilishwa.

Lwakatare anapata dhamana, huku jaribio la watawala kwa kutumia vyombo vya dola, kutaka kukichafua kwa kukipaka matope ya ugaidi na mauaji CHADEMA likiwa limeshindwa vibaya.

It's has been a battle, very seriuos battle, legally and politically, of almost three months. Bungeni, kwenye majukwaa ya siasa na mahakamani. Fighting for justice, hopes and dignity of being.

And the battle still goes on. Aluta continua.

Mapambano yataendelea kwa sababu sasa tunaanza kuamini kuwa akina Hitler, Botha na wengine wa namna hiyo bado wanaishi kwa namna nyingine, kupitia baadhi ya watu waliokabidhiwa madaraka ya kuongoza lakini wameamua kutawala.

Usikubali kufumbia macho uonevu wowote, mahali popote, kwa mtu yeyote. Ukikaa kimya leo, akina Hitler wetu hawa wa zamu zetu, watakapokufikia wakati wa 'zamu' yako hakutakuwa na mtu wa kukusemea.

Ni muhimu makamanda wasimame kwenye haki, utu, upendo, kweli na matumaini kwa ajili ya Watanzania hawa wanyonge. Mengine yote yatafuata.

Asanteni kwa kuonesha nguvu ya umma (people's power) kwa kufuatilia suala hili tangu siku ya kwanza na hadi litakapofika mwisho kwa namna nyingine linavyoendelea sasa mahakamani.

Tunaanza Mungu, tunaendelea Mungu, tutamaliza na Mungu...
 Makene.
 
Imenukuliwaa kutoka: www.jamiiforum.com
 
 

Marekani yataja sababu nne za Obama kuja Tz


Kwa ufupi
Alisema kuwa Tanzania ni nchi ya mfano linapokuja suala la uongozi bora na ndiyo maana imekuwa na amani na utulivu kwa muda mrefu ikilinganishwa na nchi nyingi za Kusini mwa Jangwa la Sahara.Dar es Salaam. Marekani imetaja sababu nne ambazo zimemfanya Rais Barrack Obama kuijumuisha Tanzania katika ziara yake ya bara la Afrika.



Sunday, 9 June 2013

SPEECH BY Dr. A. Lwaitama


NAFASI YA VIJANA WASOMI WA TANZANIA NA KATIBA MPYA (RASIMU YA KATIBA) KWENYE MAENDELEO YA TANZANIA
Na Mwalimu Azaveli Lwaitama
+255784432696

Ndugu Watanzania mliokusanyika hapa Oslo leo
Ndugu marafiki wa Wantanzania mlipo katika sherehe hii,
Kwanza naomba niwashukuru kwa kunipa mwaliko wakuhudhuria sherehe yenu bila kuchangia chochote.  Nasikitika na naomba kusamehewa kwa kukosa kuwepo uso kwa uso ingawa hotuba hii inawaonesha nipo nanyi kiroho.  Nasikitika kukosa kuwepo uso kwa uso maana niliambiwa kutakuwepo chakula kingi na vinyaji vya kutosha na mimi kwa msosi ndio mwenyewe, bia  na mvinyo  pia nakunywa ingawa hulewa mapema na kuanza kusinzisinzia.

TASAO PARTY 2013 VIDEO

VIDEO HII IMEONDOLEWA
ITARUDISHWA BAADA YA MAREKEBISHO
NASHUKURU
PRO

GALLERY : TASAO PARTY 2013


Thursday, 6 June 2013

OAU 50 years on: Ambitious dreams, painful realities

IDPs wait for food at a camp in Mugunga, 15km from Goma, DR Congo, on May 25, as the AU celebrated its 50th anniversary. The Union is divided on how to end conflicts in Africa. Photo/AFP

Home News News Why Obama chose Tanzania for his Africa tour

In Summary

Spika ampandishia Mbatia kwa kutamka ‘ sumu’





Rasimu ya katiba mpya yavuruga mbio za wanasiasa kuwania Urais 2015

 
Dar es Salaam/Dodoma: Mapendekezo yaliyotolewa katika Rasimu ya Katiba Mpya na Tume ya Marekebisho ya Katiba yamewavuruga wanasiasa ambao tayari walikuwa wamejipanga kwa ajili ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Mwananchi limebaini.

Wednesday, 5 June 2013

THINKING CRITICALLY : Education for self-reliance, not estrangement


THINKING CRITICALLY : Education for self-reliance, not estrangement

By Dr Azaveli Feza Lwaitama 







In Summary

I thus decided to visit a school, in Hedmark County, Eastern Norway, called Jonsberg, located in Stange Municipality, 120 kilometres north of Oslo.

SHEREHE YA KUWAAGA WENZETU IMEWADIA-08.06.2013

Napenda kuwakumbusha Ndugu na jamaa wote wa hapa mjini Oslo na maeneo mengine kuwa party ya kuwaaga ndugu zetu wanaohitimu kutoka vyuo mbalimbali hapa Nchini Norway imewadia, itakuwa tarehe 08.06.2013.

Tunakumbushwa kufika mapema ili tuwe na muda wa kuburudika zaidi kwa pamoja.
Kwa wale ambao bado hawajatoa michango ya uanachama wajitahidi watoe ili tuwe na sherehe nzuri na ya kupendeza.
Pamoja na hayo pia, tutawakuwa na Dr. L. Lwaitama ambae atakuwa na machache ya kutueleza. Kwa wale waliopitia chuo kikuu cha Dar es Salaam bila shaka huyu Mwalimu anajulikana vizuri.

Natanguliza shukrani kwenu kwa ushirikiano wenu.

PRO

WATANZANIA WAANDAA SUMMER PARTY-UNAKARIBISHWA SANA

Kwa Mujibu wa Bw. Marcelin Party hii ni kwa ajili ya wa Africa wote.
Mnakaribishwa.

PRO.

Friday, 31 May 2013

Wabunge nusura watwangane kwa sababu ya hoja ya Mh. Wenje na dhana ya Uliberalia na Ushoja

Mh, wenje

Taarifa ya uchunguzi juu ya kuteswa Kibanda





absalom-kibanda



 
Kibanda, ambaye ni Mwenyekiti wa TEF, alitekwa na watu wasiojulikana Machi 5, 2013 mwaka huu na kukumbana na mateso karibu na maeneo ya nyumbani kwake, Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam.
Kutokana na hali hiyo, TEF iliamua kuunda timu ya watu watano kwa ajili ya kuchunguza tukio hilo na viashiria vya kutishia usalama wa wanahabari nchini.
Taarifa hiyo, ambayo pia ilisomwa na Mwenyekiti wa Kamati iliyofanya uchunguzi huo, Deodatus Balile kwenye mkutano wa wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari uliofanyika mjini Tanga, imebainisha viashiria mbalimbali vilivyofanya Kibanda kukutana na zahama hiyo.
Pia imevitaka vyombo vya dola kufanyia kazi ripoti hiyo, ili kufuatilia viashiria vilivyoainishwa na wahusika wakamatwe.
Ifuatayo ni ripoti kamili ya uchunguzi:

Thursday, 30 May 2013

Dr. John. P. Magufuri: Sina ubia urais na Sitta 2015

 
Dk John Magufuli 

Dodoma. Siku chache baada ya Waziri wa Afrika Mashariki Samuel Sitta kumhusisha Dk John Magufuli na kundi la urais la mwaka 2015, Waziri huyo wa Ujenzi, ameibuka na kupinga kauli hiyo, akisisitiza hafikirii kuwania nafasi hiyo.

Habari njema : Serikali yapandisha mishahara sekta binafsi

 
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akijibu hoja za wabunge waliochangia makadirio ya matumizi ya Wizara yake kwa mwaka 2013/14, bungeni Dodoma, jana. 
Picha na Emmanuel Herman  

Dodoma. Wizara ya Kazi na Ajira imetangaza kuongeza mishahara kwa sekta binafsi kwa kati ya asilimia 20 hadi 65, huku ikikusudia kuongeza nafasi za ajira zaidi ya 300,000 kwa mwaka 2013/14 na kujenga mazingira mazuri kwa ajira binafsi kupitia miradi mbalimbali.
Akitoa makadirio ya matumizi ya wizara yake kwa mwaka 2013/14 jana, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka alisema wizara imekamilisha utafiti na majadiliano ya kima cha chini cha mshaharakatika sekta binafsi 12.