Mtakwimu Mkuu wa serikali ya
Ghana, Bi Philomena Nyarko, amesema umri halali wa mwanamke kuolewa
unapaswa kuongezwa kutoka miaka 18 hadi 23.
Bi. Nyarko amesema, hatua hiyo itawafanya
wanawake kujiandaa vyema kiakili na kimwili kuzaa watoto, na kwamba,
itapunguza ongezeko la idadi ya watu nchini Ghana kwa kati ya 15% hadi
20%.TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO TASAO
Tuesday, 30 July 2013
Monday, 29 July 2013
Sim card excise tax unfair, says ESRF expert
By Aisia Rweyemamu
28th July 2013
Finance Minister Dr William Mgimwa
Kenya now Africa’s ‘guinea pig’
Posted
Wednesday, July 24
2013 at
22:09
In Summary
I am a hopeless technophile, so you can
understand why I am less troubled. I think if the laptops project was
only about school kids and laptops, then it wouldn’t be worth it.Community police under fire for soliciting bribes
Since roads have been clogged in many parts of Dar es Salaam and traffic
police officers have been inadequate in dealing with the situation
community police have been deployed in some areas but they are being
accused of being corrupt. PHOTO | FILE
Politicians censured at peace, security forum
In Summary
There was wide consensus that most politicians
were self-centred and solely interested in enriching themselves instead
of serving the peopleWataka Katiba imwondolee Rais kinga kushtakiwa
Kwa ufupi
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Katiba Wilaya ya
Kalambo mkoani Rukwa, wamesema wakati wakichangia maoni yao kwenye
Rasimu ya Katiba hiyo iliyowasilishwa kwao na Tume ya Mabadiliko ya
Katiba.
Jarida la kimataifa lawatuhumu vigogo kuhujumu sera ya dawa
Dawa Mbalimbali na vipodozi vilivyokamatwa na TFDA
Sunday, 28 July 2013
Thursday, 25 July 2013
WASOMI: Tanzania inahitaji miaka 240 kutokomeza umasikini
Mwanachi, 2013.
Morogoro. Wasomi nchini wamesema Tanzania inashindwa kupiga hatua ya maendeleo kutokana na Serikali kuwa na sera na mipango mingi ambayo inashindwa kuitekeleza.
Morogoro. Wasomi nchini wamesema Tanzania inashindwa kupiga hatua ya maendeleo kutokana na Serikali kuwa na sera na mipango mingi ambayo inashindwa kuitekeleza.
Walisema kabla ya kukamilika kwa mpango mmoja, unaanzishwa mwingine hali ambayo inafanya kila jambo kufanyika nusunusu.
Bomu lanaswa ziara ya Papa Francis nchini Brazil
Watu wawili walikamatwa nchini Brazil kwa madai ya kuwa vinara wa
maandamano ya kupinga gharama za ziara ya Papa Francis nchini humo
juzi.
Sitta amtaka CAG achunguze ufisadi wa Sh8 bil ujio wa marais
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta akizungumza
wakati wa ufunguzi wa mkutano wa siku tatu wa Baraza la Vijana (TYC) wa
kujadili Rasimu ya Katiba Mpya, Dar es Salaam jana.
Wednesday, 24 July 2013
Tanzania katika skendo ya Matumizi mabaya ya pesa za misaada kutoka Norway
Na Dk
Katika gazeti maarufu hapa Norway almaarufu kama "Aftenposten" ambalo usomwa na watu wengi nchini hapa katika ukurasa wake wa kwanza limetoa picha ya "Mafia Island" ambacho ni kisiwa mmoja wapo cha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kichwa cha habari cha gazeti hilo kilikuwa " Errors have been detected in other ocean aid case"
Rwandan 'Catholics' detained over anti-Kagame protest
Paul Kagame's critics accuse him of being authoritarian
South Sudan's Salva Kiir sacks entire cabinet
Salva Kiir has apparently faced increasing pressure from government colleagues
Machumu named the new Mwananchi editorial boss
Mr Bakari Machumu joined MCL in 2004. He has a wealth of experience in
print journalism, having worked in editorial and managerial capacities
with various national publications. PHOTO | FILE
By The Citizen Reporter
(email the author)
Uhusiano wa Kenya na nchi za kigeni wazidi kuyumba
Rais Uhuru Kenyatta (kulia) akiwa na Naibu Rais William Ruto baada ya kuwasili kutoka London, Uingereza Mei 9, 2013. Picha/PPS
NY mayoral candidate Anthony Weiner admits more lewd photos
"Other texts and photos were likely to come out... today they have"
Wahimizwa kuhubiri amani,upendo
Kwa ufupi
Ni viongozi wa dini zote nchini ili waumini wao
waishi kwa kupendana na furaha, pamoja na kuhimiza mshikamano
unaotishiwa na uvunjifu wa amani kila kukicha.
Chadema: Hakuna kusubiri mjadala wa Serikali tatu
Makamu wa Rais,Dk Mohamed Bilal akizindua rasimu ya katiba mpya
NBC yawatoa hofu wananchi kuhusu akaunti ya Kiislamu
Baadhi ya wateja wa Benki ya NBC, wakifuturu katika hafla ya futari
iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja wake jijini Dar es Salaam,
mwishoni mwa wiki. Picha na Joseph Zablon.
RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MAKAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Na Mwandishi wetu.
Julai 23,2013.
Jana, Rais J. Kkikwete alikutana na viongozi wa chama cha makampuni ya simu na kuzungumza kwa kina juu ya pendekezo la simu kadi. Pendekezo hili limezua gumzo na sintofahamu miongoni mwa wananchi wengi na wengi wao wakiwa wa kipatao cha chini.
Inaonekana serikali inaelekea kushindwa kutetea hoja yake ya kuanzisha kodi hiyo. Ina imeripotiwa kuwa Raisi ametoa wito wa wadau wote kuliangalia upya swala hili kwa upana na kwa haraka.
Tuesday, 23 July 2013
Millions of Sim cards are 'vulnerable to hack attack'
Mr Nohl said one in eight Sim cards might be vulnerable
Royal baby: Thousands celebrate at Buckingham Palace
A formal bulletin confirming the birth was displayed at Buckingham Palace
Chadema’s youth wing to agitate for the young
Chadema youth wing secretary general Deogratias Munishi briefs
journalists in Dar es Salaam yesterday about a six-day International
Young Democrat Union for Sub-Sahara Africa forum scheduled for the end
of this month. Right is a member of the forum organising committee, Ms
Esther Wasira.
‘Tindikali’ aliyomwagiwa bosi HSC yachunguzwa
Na Bakari Kiango
(email the author)
Posted Jumatatu,Julai22 2013 saa 21:23 PM
Kwa ufupi
Hadi sasa hakuna mtu yeyote anayeshikiliwa kutokana na tukio hili huku polisi wakiendelea na msako mkali wa kuwabaini wahusika
Kwanini kuna kigugumizi mapambano dawa za kulevya
Agnes anayeshikiliwa kwa tuhuma za kukutwa na kilo 150 za dawa za kulevya Afrika Kusini.Picha na Maktaba.
Mahakama yaridhia Lwakatare kwenda India kwa matibabu
Mkurugenzi wa Usalama wa Chadema, Willifred Lwakatare akizungumza kuhusu
hali ya ugonjwa wake akiwa katika Tasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili
(MOI) jijini Dar es Salaam jana.Picha na Fidelis Felix
ICC sasa yaonya mauaji ya Darfur
Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakiwa wamebeba jeneza moja
kati ya saba ya miili ya askari wa Tanzania waliokuwa katika jeshi la
kulinda amani la Umoja wa Mataifa (Unamid) baada ya kuwasili kwenye
Uwanja wa Ndege wa Jeshi (Airwing) Dar es Salaam jana.Picha na Fidelis
Felix
Na Mwandishi Wetu, Mwananchi
(email the author)
Monday, 22 July 2013
UAE pardons Norwegian woman jailed in Dubai after reporting rape
DUBAI – The United Arab Emirates has pardoned a Norwegian woman who
was sentenced to jail for illicit sex after she reported being raped by a
colleague while on a visit to Dubai, the Norwegian foreign minister
said on Monday.
Kauli tata za Chikawe Uchaguzi Mkuu 2015
“Tunaweza kuwatumia wajumbe walewale wa Tume ya Katiba lakini safari hii
tukawachukua wale wa Tanzania Bara pekee wakashiriki katika kuandaa
Katiba hiyo.”
Mathias Chikawe
Na Mwandishi Wetu, Mwananchi
(email the author)
Purported letter from Taliban to Malala Yousafzai: Why we shot you
By Chelsea J. Carter and Saima Mohsin, CNN
updated 11:10 AM EDT, Thu July 18, 2013
Taliban pens letter to Malala
Norwegian woman: I was raped in Dubai, now I face prison sentence
By Nicola Goulding and Phil O'Sullivan, CNN
Dubai (CNN) -- Norwegian interior designer Marte Deborah Dalelv has spoken out after being handed a 16-month prison sentence in Dubai -- after she went to police to report she had been raped by a colleague.
updated 4:41 PM EDT, Sun July 21, 2013
Woman reports Dubai rape, faces prison
STORY HIGHLIGHTS
- Marte Deborah Dalelv says she was sentenced to prison in Dubai after reporting she was raped
- The Norwegian alleges she was attacked by a colleague after a night out on work trip
- Norway's foreign minister tells UAE her conviction "is contrary to fundamental human rights"
- Dubai police and UAE authorities have not responded to CNN's requests for comment
Askari akamatwa kwa kudhalilisha maiti DRC
19 Julai, 2013 - Saa 14:14 GMT
Wanajeshi wa DRC wakitoa ulinzi katika eneo la Kanyarucinya, yapata kilomita 12 kutoka mji wa Goma.
Afisa mmoja wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ametiwa nguvuni baada ya kuchafua maiti za wapiganaji wa waasi nchini humo.
Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa DRC,
Lambert Mende, ameiambia BBC kwamba Luteni Solomo Bangala alizuiliwa
jana Alhamisi na maafisa wa kijeshi baada ya mapigano kuzuka kati ya
jeshi na waasi wa M23 katika eneo la mashariki karibu na mji wa Goma.Siri yafichuka wizi wa kompyuta polisi
Na Frederick Katulanda, Mwananchi
(email the author)
Posted Julai20 2013 saa 22:26 PM
Posted Julai20 2013 saa 22:26 PM
Kwa ufupi
Katika wizi huo wa benki ambao ulifanyika kwenye
mashine za ATM mbalimbali na watuhumiwa watatu kunaswa Februari 10,
mwaka huu saa 6 usiku wakiiba kwenye ATM za NMB,Tawi la PPF Plaza,
Polisi walinasa vitu vingi vya watuhumiwa hao ikiwa ni pamoja na
kompyuta mbili ambazo zinadaiwa kuibwa kituoni hapo juzi.
Tozo za simu sasa kuangaliwa upya
Na Ibrahim Yamola, Mwananchi
(email the author)
Posted Julai20 2013 saa 22:30 PM
Posted Julai20 2013 saa 22:30 PM
Kwa ufupi
Ni zile za laini ya simu zilizopitishwa na Bunge kama moja ya vyanzo vya kodi nchini na kupingwa na wengi.
Dar es Salaam. Serikali imekubali kupitia mawazo
na maoni yaliyotolewa na Umoja wa Wamiliki wa Kampuni za Simu Nchini
(MOAT), kuhusu kufutwa kwa tozo ya kodi ya laini za simu ‘Simcard tax’
ya Sh1000 kutokana na kulalamikiwa na wadau wa sekta ya mawasiliano.
Mmiliki wa Home Shopping Centre amwagiwa tindikali usoni
Duka moja wapo la Home Shopping Centre lililopo jijini Dar es Salaam
Na Fidelis Butahe na Bakari Kiango, Mwananchi
(email the author)
PICHA: MIILI YA ASKARI 7 WA JWTZ WALIOUAWA DARFUR ILIPOWASILI DAR
Wanajeshi wa JWTZ wakibeba jeneza lenye mmoja wa askari wenzao saba
waliouawa kwa shambulio la ghafla wakiwa katika Jeshi la Ulinzi wa Amani
la Umoja wa Mataifa mjini Darfur, jumamosi iliyopita. Miili hiyo
iliwasili leo Jumamosi, tarehe 20, saa 10.30 jioni kwenye Uwanja wa Ndege wa Kikosi cha Anga
cha JWTZ.
MNYIKA AKOSWA NA BOMU, Lilirushwa na polisi aliposimama
VITUKO na matukio ya hatari kwenye mikutano ya CHADEMA vimeendelea kushika kasi ambapo jana Mbunge wa Ubungo, John Mnyika alinusurika kupigwa na bomu la
machozi lililorushwa na polisi waliokuwa wakizuia kufanyika mkutano
ulioitishwa na chama hicho.
Friday, 19 July 2013
DRC troops step up offensive against M23
A Congolese army tank fires a shell towards an M23 position in
Kanyarucinya, around 10km north of Goma, in the east of the Democratic
Republic of the Congo on Wednesday. PHOTO | AFP
MB leaders still in detention
By Xinhua
(email the author)
Posted
Thursday, July 18
2013 at
21:29
In Summary
They are accused of inciting violence outside
the Republican Guards House in Cairo and Nahdah Square in Giza, which
resulted in at least 60 deaths last week.
Cairo, Thursday. Egypt’s prosecution has
extended the detention of eight Muslim Brotherhood (MB) leading figures
for 15 days pending investigations over charges of inciting violence and
killings, official news agency MENA reported.
Sherehe ya Mandela hospitalini Medclinic
Raia wa Afrika Kusini akiwa na bango la kumtakia kheri ya siku ya
kuzaliwa kwa Rais Mstaafu wa nchi hiyo, mjini Polokwane nchini humo.
Picha na Mtandao
Mbunge wa Bumbuli akataa kupokea mradi wa maji
Na Mwandishi Wetu
(email the author)
Posted Alhamisi,Julai18 2013 saa 22:46 PM
Posted Alhamisi,Julai18 2013 saa 22:46 PM
Kwa ufupi
Ilipangwa kujenga tanki lenye uwezo wa
kuhifadhi maji lita 135,000, lakini mkandarasi aliamua kujenga tangi
lenye uwezo wa kuhifadhi lita 90,000 ili kuuunganisha na tanki la zamani
lenye uwezo huohuo lakini mkandarasi hakuunganisha matanki hayo jambo
ambalo ni kosa’’ alisema..
Tanga. Katika hatua inayoashiria kuchoshwa na utekelezaji usioridhisha wa miradi, Mbunge wa Jimbo
la Bumbuli, wilayani Lushoto, January Makamba amekataa kuupokea mradi
wa maji uliojengwa katika Halmashauri Mpya ya Bumbuli kutokana na kile
alichokieleza kuwa umejengwa chini ya kiwango.
Akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara
uliofanyika Bumbuli, Makamba, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Sayansi na
Teknolojia alisema kuwa mradi huo wenye thamani ya zaidi ya Sh400
milioni haukutekelezwa ipasavyo pamoja na kutengewa fedha nyingi na
wahisani ambao ni Benki ya Dunia.
Mradi huo umepangiwa kuwanufaisha, wanakijiji katika vijiji vinne vya Bumbuli Mission, Bumbuli Kaya, Mboki na Kwamanolo na ulikuwa uanze kutoa huduma ya maji kuanzia Kijiji cha Kwamanolo.
“Ilipangwa kujenga tanki lenye uwezo wa kuhifadhi
maji lita 135,000, lakini mkandarasi aliamua kujenga tangi lenye uwezo
wa kuhifadhi lita 90,000 ili kuuunganisha na tanki la zamani lenye uwezo
huohuo lakini mkandarasi hakuunganisha matanki hayo jambo ambalo ni
kosa’’ alisema..
Alisema fedha zilizotumika na thamani halisi ya
mradi ni tofauti na kwamba ni vigumu kwake kuamini kwamba mradi huo
utatekelezwa kama ulivyokusudiwa awali.
Alisema ni afadhali asipokee kwanza mradi huo ili
taratibu zingine za kuchunguza zifanyike kama ni kweli mradi huo
utasambaza maji ya kutosha.
chanzo: Mwananchi
chanzo: Mwananchi
Thursday, 18 July 2013
UKWELI WA MASOGANGE WAZIDI KUBAINIKA
Maofisa wa Wizara ya Fedha kizimbani
Kwa ufupi
Wanakabiliwa na mashtaka ya ufisadi wa mamilioni ya fedha za matangazo kwenye vyombo vya habari, wengine wawili wasakwa
Salim: Mandela ni nuru ya dunia
Kwa ufupi
Kusema kweli Mandela ni mtu wa aina yake…
alipitia mazingira magumu yaliyoambatana na mateso makubwa, lakini
pamoja na yote hayo, alisimama na kuhubiri umoja uliofanikisha kujenga
taifa la Afrika Kusini hadi leoKisumo: Mbowe acha kuitumbukiza nchi yetu kwenye uvunjifu wa amani
“Unaposema huna imani na JWTZ, Polisi wetu unataka kuanzisha vikundi vya
kukulinda tafsiri yake ni kwamba unataka kuanzisha vikundi vyenye sare
hii si sahihi,”
Peter Kisumo
Na Daniel Mjema, Mwananchi
(email the author)
Subscribe to:
Posts (Atom)