Capt. John Kivunge,akitoa maelezo mafupi wakati wa kuaga miili hiyo huko Darfur, Sudan

Wanajeshi wakito heshima zao za mwisho kwa wanajeshi 7 waliofarik

Baadhi ya majeruhi wa tukio hilo wakiwa hospital


Miili ikiweka kwenye gari tayari kwa safari ya kurejea nchi Tanzania — in Darfur, Sudan.

Wanajeshi walinda amani huko Darfur — in Darfur, Sudan.

Mmoja wa majeruhi wa tukio hilo akiwa hospitali — in Darfur, Sudan.

Miili ikiweka kwenye gari tayari kwa safari ya kurejea nchi Tanzania — in Darfur, Sudan.Miili ya wanajeshi saba wa JWTZ waliouawa katika machafuko nchini Sudani, Darfur. Askari hao walifariki wakiwa kwenye vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa huko nchini humo
Miili ya wanajeshi saba wa JWTZ waliouawa katika machafuko nchini Sudani, Darfur. Askari hao walifariki wakiwa kwenye vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa huko nchini humo — in Darfur, Sudan.
