HABARI
ZA JIONI WATANZANIA WENZANGU, KUTOKANA NA KUWA NIMEKUWA NIKISEMWA SANA,
MANENO MENGI YASIO NA TIJA JUU YA HILI TAJI LA UMISS TANZANIA
2014,,,MPAKA KUPELEKEA NISIWE NA AMANI
NA UHURU NDANI YA NCHI YANGU TANZANIA, KWA ROHO SAFI NIMEAMUA MWENYEWE
KUJIVUA TAJI HILO NA KUACHA WANAYE ONA ANASTAHILI TAJI HILI APEWE ILI
NIENDELEE NA MAISHA YANGU KWA AMANI ,ISIWE SHIDA SANA KWANI SITEGEMEI
TAJI HILI ILI KUISHI!!
Thea
(12) is Norway’s first child bride. The young girl will walk down the
aisle on Saturday October 11, to meet her 37 years old husband to be.
Being Norway’s first official child wedding, the event has sparked an
outcry of reactions from the public.
“Hey! My name is Thea and I’m 12 years old. I am getting married in one month!”.
As all Tanzanians know, on Thursday
last week, the Constituent Assembly (CA) apparently voted in favour of a
draft constitution, which will be presented before Tanzanians in a
referendum—we are now told will be held before the next General
Election.
Alisema viongozi wa Ukawa wamekuwa wakiwatukana
waasisi wa Muungano; Mwalimu Julius Nyerere na Shekh Abeid Karume hata
nje ya Bunge ambako hawana kinga.
MAONI YA WAJUMBE WALIO WA WACHACHE KATIKA KAMATI NAMBA NNE KUHUSU SURA
YA KWANZA NA SURA YA SITA YA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA
TANZANIA [Kanuni ya 32(4) ya Kanuni za Bunge Maalum, 2014]
Neno mkanyinko utumika mara kwa mara, lakini je umewahi kuwa na mkanganyiko juu ya jambo lolote? Vipi kuhusu MH 370? Sasa ni dhahili kuwa kupotea Kwa ndege ya MH370 ya huko nchini Malyasia inazidi kulete mkanganyiko mbaya zaidi kuwahi kutokea katika ajali za ndege tokea huko nyuma.
Tatizo la Upatikanaji wa Maji
safi na salama nchini Tanzania ni moja ya mada zinazojadiliwa sana punde
zinaposikika katika Makala ya Haba na Haba redioni.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba maji ni bidhaa
adhimu kwa maisha ya binadamu na upatikanaji wake imekuwa ni shida kwa
maeneo mengi nchini humo.
Haba na Haba Tv ilisafiri mpaka mkoani Tanga
wilayani pangani kuona namna wananchi wa huko wanavyohangaika kila
kuchao kutafuta maji.