Mkurugenzi
wa Masuala ya Bunge wa Chadema, John Mrema (kushoto) akionyesha picha
ya Balozi wa China nchini, Dk. Lu Youqing, akitambulishwa na Katibu Mkuu
wa CCM, Abdulrahman Kinana kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho
mkoani Shinyanga. Kulia ni Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa Chadema, Ezekia
Wenje.