Saturday 28 September 2013

Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania, Mhe. Dkt. Harrison G. Mwakyembe (kushoto) na Waziri wa Uchukuzi wa Singapore, Mhe. Lui Tuck Yew (kulia),Wakibadilishana nyaraka baada ya kusaini Mkataba wa Huduma za Usafiri wa Anga kati ya Tanzania na Singapore jijini Montreal, Canada mwanzoni mwa wiki.