Sunday 29 September 2013

SERIKALI YAYAFUNGIA MAGAZETI YA MWANANCHI NA MTANZANIA KUANZIA TAREHE 27.09.2013

 Katika harakati za kutaka kujiokoa katika MTEGO wa WAPINZANI baada ya kubaini mwitikio mkubwa wa watu siku ya Tarehe 10/10/2013 katika MANDAMANO makubwa ya Kihitoria,

SERIKALI sasa imeyafungia kwa muda MAGAZETI ya MWANANCHI, MTANZANIA, na MAJIRA,

Labda tutoe pongezi kwa VIONGOZI hawa Prof Ibrahimu Lipumba Bingwa wa Uchumi Duniani, Freeman Mbowe Mwanasiasa Machachari na James Mbatia Mhandis (Eng)
Kutokana na Serikali kubanwa katika swala hili la KATIBA sasa hata kama kunakosa alifanya Marehemu BIBI yako linatosha kukutia MATATANI,

Watanzani wanzagu asibaki mtu nyumbani siku ya 10/10/213

MAONI YA WATU: 

In full and un-reserved support of Mwananchi and Mtanzania Newspapers.

In full support of freedom of the press.
In complete opposition to all Governments that can't tolerate spades being called spades.
Halafu "mkumbukwe ",for what exactly!?!
Serikali dhaifu ya CCM imeyafungia magazeti ya Mwananchi, siku 14 na Mtanzania siku 90.
Sababu ambazo idara ya habari maelezo imetoa ni za kipuuzi sana.
Tunakoelekea inaonekana CCM watatafuta hadi vifaa maalum ili kila raia anayeifikiria CCM vibaya afungwe.
Kuyafunga magazeti kwa sababu dhaifu na za kiuonevu hakutazuia mapinduzi ya kweli ya kifikra, viongozi hatutarudi 

nyuma, kadri watakavyofunga magazeti na kuwafunga wanaharakati na wanasiasa , ndivyo tutazidi kuungana hadi 

tuhakikishe CCM inaachia ngazi na Tanzania inatafuta mustakabali mwema.

3. DAVID MAPHONE
Katika harakati za kutaka kujiokoa katika MTEGO wa WAPINZANI baada ya kubaini mwitikio mkubwa wa watu siku ya Tarehe 10/10/2013 katika MANDAMANO makubwa ya Kihitoria,

SERIKALI sasa imeyafungia kwa muda MAGAZETI ya MWANANCHI, MTANZANIA, na MAJIRA,

Labda tutoe pongezi kwa VIONGOZI hawa Prof Ibrahimu Lipumba Bingwa wa Uchumi Duniani, Freeman Mbowe Mwanasiasa Machachari na James Mbatia Mhandis (Eng)

Kutokana na Serikali kubanwa katika swala hili la KATIBA sasa hata kama kunakosa alifanya Marehemu BIBI yako linatosha kukutia MATATANI,

Watanzani wanzagu asibaki mtu nyumbani siku ya 10/10/213

4. East Africa Radio
HABARI: Magazeti ya MWANANCHI na MTANZANIA yafungiwa

Serikali imeyafungia magazeti ya Mwananchi na Mtanzania kwa madai ya kuwa yanachapisha habari na makala za uchochezi pia uhasama kwa nia ya kusababisha wananchi wakose imani na vyombo vya dola.

Mwananchi limefungiwa kwa siku 14 na Mtanzania limefungiwa kwa siku 90

ETI UNALIFUNGIA GAZETI LA MWANANCHI?

NAFIKIRI KUNA SABABU ZA KUITAZAMA HII WIZARA YA HABARI NA WATENDAJI WAKE KWA JICHO LA TATU