Saturday 15 June 2013

BOMU LALIPUKA ARUSHA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA NA KUJERUHI WATU KADHAA LEO

Hali siyo shwari polisi wanalipua mabumu watu wamejeruhiwa

Bomu lililolipuka limejeruhi watu sana. Inaonekana bomu lilitegwa karibu na gari la matangazo.

Mtoto aliyelipukiwa na bomu amefariki uwanjani.
 Tutawajulisha taarifa zikiendelea kutufikia