Watuhumiwa wa madawa ya kulevya wakiwa wameficha nyuso zao katika Mahakama Kuu jijini Dar leo.
Mmoja wa watuhumiwa akiwa ameinamisha kichwa chake kukwepa kamera za wanahabari. Askari Magereza akimtia pingu mtuhumiwa katika kesi ya madawa ya kulevya.
Watuhumiwa wakificha sura zao kwa wanahabari waliokuwa na hamu ya kupata picha zao.
HALI ya sintofahamu imetokea leo katika Mahakama Kuu ya Tanzania jijini
Dar es Salaam wakati Jaji Mwakipesile alipomaliza kusikiliza kesi
inayowakabili watuhumiwa wa madawa ya kulevya.