Karibu
katika sehemu mbili za mahojiano na Katibu Mkuu wa Chama kikuu cha
upinzani nchini Tanzanzia, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Dr. Willbrod Slaa yaliyofanyika Septemba 22, 2013 hapa Washington DC
“Napasisha Wajinga, Naunganisha mtandao wa
Freemason, Natoa kozi ya Ubunge.” Lakini ningependa jamii itambue kuwa
huwezi kujua maana ya kitabu kwa kusoma jina lake tu, ni lazima ukisome
kitabu hicho zaidi ya mara moja. Huwezi kuelewa maana ya makala hii kwa
kichwa chake tu.
Mtoto
mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Zuhura (6), mkazi wa Lulumba,
Wilaya ya Iramba mkoani Singida, amefariki dunia baada ya kumwagiwa maji
ya moto na bibi yake.
Kampuni
ya kuhudumia ndege, abiria na mizigo Swissport kwa kushirikiana na
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini wamejipanga kuzuia ugaidi kuingia
nchini.
Miongoni
mwa wafugaji wa jamii ya Kidatoga waishio kijiji cha Vilima Vitatu,
wilaya ya Babati mkoani Manyara, Gharibo Gidayinyi akiwa na mtoto wake
mwenye umri wa mwaka mmoja, Ingiresa Mabee (kushoto), Balozi wa nyumba
10 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Udaghwenga Bwayay (katikati) na Giyamu
Mwarisha (kulia) wakishiriki mkutano wao na waandishi wa habari
uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.
The
head teacher of Victory Secondary Schools in Mkuranga, Coastal Region,
Christopher Segeleti, on Friday urged the government to motivate
teachers to put more efforts in teaching, which would increase the
number of passing students.
President
Jakaya Kikwete addresses the 68th plenary session of the United Nations
General Assembly, in New York yesterday. (Photo: Freddy Maro, State
House)
On September 21, militants from the Somalia-based al-Shabab group
took over the Westgate Mall in Nairobi, East Africa’s media capital.
What followed was a four-day standoff and a civilian death toll that
international news organisations could not ignore.
NOTICE TO SUCCESSFUL LOAN APPLICANTS FOR 2013/2014 ACADEMIC YEAR
The Higher
Education Students’ Loans Board is hereby announcing names of
successful first time loan applicants for 2013/2014 Academic Year who
applied and were eligible for student loans.
Absalom Kibanda
Mhariri Mkuu wa gazeti la Mtanzania aliyenusurika kuwawa baada ya
kuteswa kwa kung'olewa kucha, meno, jicho na vidole sasa anakuwa hana
kazi kwa miezi 3 baada ya gazeti lake kufungiwa na Serikali. Wamemkosa
kwa kumtesa sasa wanafuata kwenye kazi yake. Hawataki kumwua Kibanda kwa
njaa, wanataka kuwanyima habari Watanzania. Wanataka tusome Uhuru na HabariLeo tu.
Unafungia gazeti la mwananchi eti kwa kuandika kuhusu mishahara ya
Serikali, wapuuzi hawa hawajui mishahara ni kodi za wananchi na wana
nchi wana haki ya kujua mishahara ya watumishi wao. Serikali lazima
ijutie uamuzi huu wa kibabe na kidikteta. Kama hupendi habari ya gazeti
nenda mahakamani. Kufungia gazeti ni tendo la woga. Cowards behave this
way
Kiongozi
Mkuu wa Upinzani nchini Dr. Wilbrod Slaa amesema kuwa Tanzania ina
jukumu la kuhakikisha kuwa inatoa huduma muafaka kwa majeruhi wake wa
kivita na wanajeshi ambao wanapata madhara wakiwa kazini. Dr. Slaa
amesema hayo baada ya kukutana na wanajeshi wa Marekani ambao
walijeruhiwa vibaya katika vita huko Afghanistani kwenye hospitali ya
Kijeshi ya Walter Reed huko Bethesda Jimbo la Maryland.
Serikali imeyafungia kutochapishwa Magazeti ya MWANANCHI na MTANZANIA kuanzia 27 Septemba, 2013 kutokana na mwenendo wa magazeti hayo kuandika habari na makala za uchochezi na uhasama kwa nia ya kusababisha wananchi wakose imani kwa vyombo vya dola hivyo kuhatarisha amani na mshikamano ulipo nchini.
Washtakiwa
kesi ya EPA toka kushoto Bahati Mahenge, Manase Mwakele na Eddah
Mwakale wakiwa mbele ya Mahakama ya Kisutu kusomewa shitaka lao na
kufungwa jela.
Chief
of Defence Forces (CDF) General Davis Mwamunyange (R) presents an
official retirement card to Lieutenant General Sylvester Ryoba during a
farewell ceremony held at Twalipo Military Barracks, off Kilwa Road in
Dar es Salaam yesterday. Ryoma has retired from the army. (Photo:
Courtesy of TPDF)