Toka jana jioni wakazi wa jiji la Arusha wameendelea kuwa katika
taharuki na minong'ono hapa na pale kutokana na tukio la kupigwa risasi
binti mmoja aitwaye Violeth Mathias katika ofisi za TRA Arusha.
Mwanadada huyu aliyeonesha jeuri ambayo haikutegemea si tu Arusha bali
katika Taifa hili hasa lile la kwenda na kuchukua Bastola na kutaka
kummaliza askari aliyekuwa akitimiza wajibu wake katika Bank ya CRDB.
Kitendo hiki kimelfanya wakazi wa jiji hili kuwa na Maswali mengi kuliko
majibu. Hasa juu ya anakota jeuri ama kiburi mwanadada huyu.
Ni kauli ya aliyekuwa mchumba wa marehemu Luteni Rajabu, aliyeuawa nchini DRC .
Dar es Salaam. Mchumba wa
askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), aliyeuawa kwa
kupigwa risasi akiwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Luteni Asia
Hussein aliyekuwa naye kabla ya kuuawa mchumba wake amesema, marehemu
alimwomba amwombee arudi salama kutoka kwenye mapigano.
Ni baada ya Kenya, Rwanda na Uganda kufanya mikutano bila kuihusisha Tanzania.
Dar es Salaam/Dodoma. Serikali
imeshaanza kuchukua hatua baada ya nchi za Rwanda, Kenya na Uganda
kutoihusisha katika mambo yanayohusu Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC),
ikiwa ni pamoja na kutohudhuria mikutano ya jumuiya hiyo yenye ajenda
ambazo nchi hizo tatu zimekwishaweka msimamo wa peke yao.
Mapema mwili wa Balozi Sepetu uliagwa na
waombolezaji wakiongozwa na Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi
na viongozi mbalimbali wa Serikali na vyama vya siasa shughuli ambayo
ilifanyika katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi uliopo eneo
la Kikwajuni katika Manispaa ya Zanzibar kabla ya misa maalumu
iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Joseph katika Mtaa wa Shangani.
Waziri huyo aliongeza kuwa, mashambulizi haya
yameleta taswira mbaya kwa Wazanzibari wenyewe na Tanzania kama nchi
kwani yanailenga jamii moja ambayo siku jamii hiyo ikiishiwa uvumilivu
taifa linaweza kuingia katika machafuko na kuathiri kwa kiasi kikubwa
amani, mshikamano wa kitaifa na utulivu visiwani hapa.
Rais
Jakaya Kikwete, akisalimiana na wafanyakazi wa Swissport katika Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, wakati akielekea kupanda ndege
kwenda London, Uingereza, kwa ziara ya kikazi ya siku nne juzi jioni.
Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,
Bernard Membe na Meneja wa Shirika la Ndege la Emirates uwanjani hapo,
Aboubakar Jumaa.
PPF
Pensions Fund director general William Erio (2nd-L) shakes hands with
Ilemela Officer Commanding District Deborah Magiliginda at yesterday’s
handing over of 49.5 million/- Kiseke police post, the cost of whose
construction was borne by the Fund. Others (from-L) are PPF director of
investment Steven Alfred, acting Mwanza regional police commander Joseph
Konyo and acting Mwanza regional commissioner Ndaro Kurwijira. (Photo:
Khalfan Said)
MBUNGE wa Viti Maalumu, Mchungaji Getrude Rwakatare (CCM) wa
Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Mikocheni B, jijini Dar es
Salaam, ametengwa katika Ushirikiano wa Makanisa baada ya kanisa lake
kulalamikiwa kufungisha ndoa inayodaiwa kukiuka taratibu za kikanisa,
kisheria na kimaadili, Tanzania Daima Jumatano limejulishwa.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philip
Mulugo alitoa agizo hilo jana alipotembelea shule hiyo kujua ukweli,
ambapo pia aliagiza wanafunzi sita wa kidato cha tatu walioshirikiana na
mwalimu huyo kusimamishwa masomo kwa kipindi kisichojulikana ili
kupisha uchunguzi
Mwigamba alisimamishwa katika Mkutano wa Baraza la
Uongozi la chama hicho Kanda ya Kaskazini siku tatu zilizopita
akituhumiwa kusema uongo, kupotosha taarifa za chama na kuchonganisha
viongozi kupitia mtandao wa kijamii wa Jamii Forums.
“Tunawaomba vijana kudumisha amani, kule tuliishi
maisha mazuri katika kipindi chote cha kuwepo kwetu. Pia tunawashauri
wanaotaka kwenda kuhiji waende wakiwa bado vijana na wasisubiri wakiwa
watu wazima kwani kule kunahitajika uwe mwenye afya njema,”
South Sudan's President Salva Kiir, Uganda's President Yoweri Museveni,
Rwanda's President Paul Kagame and Kenya's President Uhuru Kenyatta pose
for a photo during the Integration Projects Summit in Kigali on October
28, 2013. |AFP PHOTO / PPS