Friday 25 October 2013

Mkuu wa kituo cha polisi apigwa risasi

Mkuu wa Kituo cha Polisi Kilindi, Inspekta wa Polisi Lusekelo Edward, akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo baada ya kupigwa risasi mkono wa kulia na tumboni na kundi la watu wasiofahamika katika vurugu zilizotokea