Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilboard Slaa leo Jumapili Sept
22, 2013 aliongea na Watanzania wa DMV na vitongoji vyake kuhusu mstakabali
mzima wa Tanzania, kisiasa, kiuchumi na huku akigusia mali asili na utalii,
kusafirishwa kwa wanyama nje ya nchi kinyemela.
Mwenyekiti wa CHADEMA
DMV, Bwn. Kalley Pandukizi akizungumuza na kueleza historia ya tawi la CHADEMA
DMV lilivyoanzishwa kabla ya kumkaribisha katibu wa tawi DMV, Bwn. Liberatus
Mwang'ombe.
Katibu Mkuu wa CHADEMA
Dkt. Wilboard Slaa katika picha ya pamoja na Katibu wa CHADEMA DMV Bwn.
Liberatus Mwang'ombe.
Bi. Josephine Mshumbuzi akiongea na wanaDMV kabla ya
kumkaribisha Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilboard Slaa. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum Leticia Nyerere.
Mama Leticia Nyerere akipeana Mkono na Mchungaji Materu katika Mkutano wa Chadema DMV uliohutubiwa na Dr Slaa
Pichani ni baadhi ya Wakazi wa Washington DC (DMV) Waliojitokeza kumsikiliza Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa.
KWA PICHA ZAIDI BONYEZA READ MORE
SOURCE: CHADEMA BLOG