Tuesday 1 October 2013

MAANDAMANO DODOMA

Baadhi ya umati wa wananchi wa Kikuyu, nje kidogo ya mji wa Dodoma, wakiandamana huku wakiwa wameshika mabango yenye ujumbe mbalimbali kuelekea kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kupinga hatua ya Mamlaka ya Ustawishaji Makao Mkuu (CDA) kubomoa nyumba zao zaidi ya 1,000.