Wednesday, 9 October 2013

TAIFA LINAANGAMIA KWA SABABU YA WATU WACHACHE KUKOSA MAARIFA: PICHA NA VIFAA VYA AL-SHABAB WA TANZANIA


Siku ya jana vijana 11 walikamatwa kwenye msitu mmoja uliopo Mtwara huku wakiwa wanajifunza mafunzo ya kigaidi. Vijana hao walikamatwa na cd za mafunzo ya Al Shabaab, Al Qaeda, kuunda jeshi, zindukeni Zanzibar, mauaji ya Idd Amini na Mogadishu Sniper.

Majina ya watu waliokamatwa ni kama ifuatavyo

Watuhumiwa wote hao tayari wameshafikishwa mahakamani na polisi bado wanaendelea na uchunguzi kujua kama kuna makundi mengine na ninani ambaye anafadhili matukio mabovu kama haya.
 
SOURCE: PAPARAZI BLOG