Wednesday, 9 October 2013

TANGAZO

YAH: MAANDALIZI NA MICHANGO KWA AJILI YA NDUGU YETU KEVIN  GODFREY NDOSSY

Husika na kichwa cha habari hapo juu. Kwa niaba ya Uongozi na wanachama wa TASAO napenda kuwa kumbusha juu ya Maandalizi ya Harusi ya Ndugu na Kaka yetu Mpendwa  Kevin G. Ndossy.


Ni jambo la furaha kuona kuwa ndugu yetu anaelekea kutimiza nguzo muhimu na moja ya ndoto zake za kuwa na familia. Ndugu Kelvin, kama ilivyo ripotiwa awali anategemea kufunga ndoa siku chache zijazo. Sintaweza kutaja ni lini maana kibali kutoka serikalini kinasubiriwa ndani ya wiki mbili kuanzia sasa

Bila kusubiri upatikanaji wa kibali nimeona nivyema niwakumbushe MICHANGO ambayo kwa kiasi kikubwa taarifa zake zilikwisha zungumzwa/zinajulikana.

Nikilejea kikao tulichokutana siku za hivi karibuni tulikubaliana kuwa mtu yeyote anaruhusiwa kuchangia kiasi chochote kuanzia Krona 500. Na idadi ya waalikiwa au watakoa shiriki ni watu 30 tu. Kwa wale wanaopenda kutoa chini ya hapo wanakaribishwa pia.

Si lazima uwepo hapa Oslo-Norway, Hata kama upo Nje ya mji au nchi hii unakaribishwa pia kutoa mchango wako wa hali na mali.

Tunaamini umoja wetu katika hili ndio mafanikio ya Kaka yetu Kufanikisha shughuli yake ya kihistoria.

Michango hii unaweza kuituma moja kwa moja kupitia account yake ya Bank. Kwa wale walio nje ya nchi mnaweza kumchangia pia. Unaweza kumtumia ujumbe mfupi kupitia ukurasa wake wa FACEBOOK Ili uweze kupata IBAN number, na SWIFT CODE.

Kwa wale waliopo hapa taarifa za kibenki ziko chini hapa.

Wasiliana na Muhusika mwenyewe au Kiongozi yeyote wa TASAO

MAWASAILIANO
KELVIN GODFREY NDOSSY
EMAIL: kevinndossy@yahoo.com/ kndossy@gmail.com
Facebook: Kevin Kevin
Mobile: +4746392584
Bank Account: 60391414052

TUNATANGULIZA SHUKRAZI ZETU KWAKO
UBARIKIWE

PRO
DEZIDERY KAJUNA
kajunat08@yahoo.com