
Mwanamke aliyekuwa amejeruhiwa akiomba msaada

Familia ikiwa imeshikana mikono wakati ikitoka nje ya eneo la hatari



Mashuhuda wanasema watu hao waliokuwa na silaha, wakiwa na nguo nyeusi na vichwa vyao vikifunikwa na vilemba waliingia kwenye mall hiyo ya Westgate jana mchana. Mpaka sasa, idadi ya watu walioshikiliwa mateka ndani ya mall hiyo haijajulikana.

Mama na wanae akiwa amejificha kuhofia kuuawa na watu hao makatili

Mfanyakazi wa Red Cross akimbeba mtoto aliyekuwa ndani ya mall hiyo

Mtoto akikimbia kuokoa maisha yake

Mtoto akiwa nje baada ya kutolewa ndani ya mall, pembeni ni mwili wa mtu aliyeuawa
Zaidi ya watu 40 wameripotiwa kuuawa na zaidi ya 162 wakijeruhiwa.

Mtu na mpenzi wake waliouwa kwa pamoja na wanamgambo hao

Mwanamke akilia kwa woga baada ya kuokolewa na askari

Mwanamke aliyejeruhiwa akitolewa nje kwa kubebwa kwenye toroli la kufanyia shopping

Mwanamke aliyekuwa ameshikiliwa mateka akiwa haamini baada ya kuachiwa Maafisa wamesema watu hao wamebananishwa na kwamba watu wameshikiliwa mateka kwenye maeneo mbalimbali. Al-Shabab imeliambia shirika la habari la Uingereza BBC kuwa limefanya shambulio hilo kujibu opereshini za kijeshi za Kenya zinazoendelea nchini Somalia.

Ofisa wa usalama na wenzake wakielekezana na wenzake mahali walipo watu hao wenye silaha

Polisi akisaidia kumtoa mtoto aliyekuwa ndani ya mall

Polisi na wanajeshi wakipambana na magaidi hao Mashuhuda wengine wamedai kuwa wanamgambo hao waliwaambia waislamu waondoke na wabaki waumini wa dini zingine. “Walisema na kusema: ‘Kama wewe ni muislamu, simama. Tumekuja kuwaokoa,” Elijah Lamau aliiambia BBC. Alisema waislamu waliondoka wakiwa wamenyoosha mikono juu na kisha watu hao wakawapiga risasi watu wawili.

Polisi wa Kenya akiwa ameshika tumbo lake baada ya kujeruhiwa huku mwenzake akiendelea kurushiana risasi na magaidi wa Al-Shabab

Polisi wakiingia ndani ya mall hiyo kupambana na wana mgambo wa Al-Shabab

Polisi wakipambana na Al-Shabab

Raia wa Canada Annemarie Desloges, 29, aliuawa kwa risasi na magaidi hao

Wanajeshi walimwaga kwenda kusaidia kupambana na watekaji wa kundi LAkigaida la Al-Shabab

Wananchi wa mataifa mbalimbali waliokuwa wakifanya shopping kwenye mall hiyo wakiwambia kuinua mikono yao kuonesha hawana silaha Gaidi mmoja alikamatwa jana na kufa kutokana na majeraha. Maafisa wa Kenya wameimbia