Monday, 30 September 2013

Westgate Tenants Count Their Losses

J. MNYIKA : MSWADA- 30 SEPT SIASA

MKWASA: Jamii yapaswa kuwa mfano mzuri wa kuigwa.

Zimbabwe music superstar Oliver Mtukudzi discloses HIV status

By KITSEPILE NYATHI in Harare | Tuesday, January 8  2013 at  09:57
Oliver Mtukudzi
Zimbabwe music superstar Oliver Mtukudzi

Propaganda, little else, unites Africa's jihadist groups

By AFP | Wednesday, September 25  2013 at  10:15
A lady at the city mortuary in Nairobi after the September 22 attack in the Westgate Mall

Anger as Ghana hikes prices of water and power

By FRANCIS KOKUTSE in Accra | Friday, September 27  2013 at  17:33
Cost of electricity and water is expected to rise sharply in Ghana if new rates are adopted

Ugandan army good fighters but thieves, US tells Museveni

By CHRIS OBORE | Monday, September 30  2013 at  11:5

AUDIO: ABSALOM KIBANDA NA KUFUNGIWA KWA MAGAZETI YA MWANACHI NA MTANZANIA

OPERESHENI KIMBUNGA YAFUMUA KIJIJI HARAMU CHENYE DOLA YAO....FUATILIA HAPA

Imeandikwa tarehe 29 Septemba 2013 By Eric Anthony, Kigoma

 

VIDEO: Mahojiano na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa Part 1


Karibu katika sehemu mbili za mahojiano na Katibu Mkuu wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzanzia, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr. Willbrod Slaa yaliyofanyika Septemba 22, 2013 hapa Washington DC
Kati ya aliyozungumza ni pamoja na
1: Hali ya kisiasa nchini Tanzania hivi sasa
2: Nini walichomaanisha waliposema "nchi haitatawalika"?
3: Ni kweli kuwa CHADEMA inaamini kuwa Tanzania hakuna amani?
4: Kuna namna ambavyo tunaweza kutenganisha "siasa na maamuzi ya serikali"?
5: Anaonaje tofauti ya UTENDAJI WA BUNGE baina ya kipindi alichokuwepo yeye na hili la sasa?

Mahojiano na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa Part 2

‘Ninapotazama rasimu hii, naona Katiba ya Marekani’


Kenya yaishangaa Marekani

MAOJIANO YA RAIS KIKWETE HUKO USA

Jeshi la Polisi limesema litalinda Benki zote Jijini Dar Es Salaam kuanzia leo.


 

INSPIRATIONAL WORDS

Saudi cleric warns driving could damage women's ovaries


By Mohammed Jamjoom, CNN
updated 8:49 PM EDT, Sun September 29, 2013
SInce June 2011, dozens of women across Saudi Arabia have participated in the

Louisiana pastor shot and killed while preaching and the daughter speaks out

Clinton says Obama needs to call the GOP's 'bluff'

Clinton says Obama needs to call the GOP's 'bluff'

YA TANZANIA YA KENYA : Fake doctor unmasked

HEKAYA ZA MLEVI: Mganga: Napasisha wanafunzi

Posted  Septemba28  2013 
Kwa ufupi
“Napasisha Wajinga, Naunganisha mtandao wa Freemason, Natoa kozi ya Ubunge.” Lakini ningependa jamii itambue kuwa huwezi kujua maana ya kitabu kwa kusoma jina lake tu, ni lazima ukisome kitabu hicho zaidi ya mara moja. Huwezi kuelewa maana ya makala hii kwa kichwa chake tu.

Hamad: Kikwete usisaini muswada

Fally Ipupa Sweet Life (La Vie Est Belle) (Officiel)

Jesse Jackson continues Farc mission despite Colombia refusal


Rev Jesse Jackson in Cuba 

EAC ziunganishe nguvu kutokomeza ugaidi


29th September 2013

Binti afa kwa kumwagiwa maji ya moto na bibi yake


29th September 213
 
Kisa alichelewesha mwiko wa kusongea ugali

Mtoto mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Zuhura (6), mkazi wa Lulumba, Wilaya ya Iramba mkoani Singida, amefariki dunia baada ya kumwagiwa maji ya moto na bibi yake.

Swissport wajipanga kudhibiti vitendo vya ugaidi


29th September 2013
 
Kampuni ya kuhudumia ndege, abiria na mizigo Swissport kwa kushirikiana na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini wamejipanga kuzuia ugaidi kuingia nchini.

STAND FOR YOUR RIGHT- IT IS YOUR RIGHT!

Miongoni mwa wafugaji wa jamii ya Kidatoga waishio kijiji cha Vilima Vitatu, wilaya ya Babati mkoani Manyara, Gharibo Gidayinyi akiwa na mtoto wake mwenye umri wa mwaka mmoja, Ingiresa Mabee (kushoto), Balozi wa nyumba 10 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Udaghwenga Bwayay (katikati) na Giyamu Mwarisha (kulia) wakishiriki mkutano wao na waandishi wa habari uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.

Those who stole taxpayers` trillions should be arrested and prosecuted

29th September 2013

Al Amin Khimati, who spent years with Al Shabab members in prison talks to BBC Newsday

Teachers of Coast Region private school complete Dubai tour


29th September 2013
The head teacher of Victory Secondary Schools in Mkuranga, Coastal Region, Christopher Segeleti, on Friday urged the government to motivate teachers to put more efforts in teaching, which would increase the number of passing students.

THE PRESIDENT OF UNITED REPUBLIC OF TANZANIA: Rais Kikwete ahutubia Baraza Kuu UN









 President Jakaya Kikwete addresses the 68th plenary session of the United Nations General Assembly, in New York yesterday. (Photo: Freddy Maro, State House)

Syria: Breaking the deadlock

Australian PM Abbott set for Indonesia talks on migrants


Indonesians inspect the wreckage of the asylum seekers' boat which sank off Java's coast. Photo: 28 September 2013  

video: Listening Post Al-Shabab: Of media and mouthpieces


On September 21, militants from the Somalia-based al-Shabab group took over the Westgate Mall in Nairobi, East Africa’s media capital. What followed was a four-day standoff and a civilian death toll that international news organisations could not ignore.

Opinion Women in India: Goddess or Slut?


 

Mali: Gun battle between 'rebels' and soldiers in Kidal


Malian soldiers near Kidal (file image) 

Kenya's Westgate siege: Security chiefs to be quizzed


A car park at the Westgate which collapse during the siege, 28 September 2013 
 The Westgate shopping centre attack has shocked Kenya and the world

MAUAJI ULANGA MKOANI MOROGORO

INTERVIEW: Brave mother; Faith Wambua narrates four hour ordeal at westgate

We Love our Country: Tanzania Student Association Oslo (TASAO)

Sunday, 29 September 2013

Distraction: Magician sneezes his head off

Shoga wake Mama by Snurah ft Wema

Askari wamelazimika kutumia nguvu kwa waliokuwa wakiiba mafuta baada ya ...

MISS WORLD 2013: MISS PHILIPPINES CROWNED

MISS WORLD 2013: (VIDEO AND PHOTO)


 Mfilipino Megan Young ashinda taji la Miss World 2013.

Miss Philippines, Megan Young, jana alitwaa taji la Miss World 2013 kwenye fainali zilizofanyika katika kisiwa cha Bali nchini Indonesia.
miss-Pmiss-p0

Salma Kikwete azuru Jimbo la Nebraska, Marekani


SATURDAY, SEPTEMBER 28, 2013

DAR ES SALAAM -TANZANIA

VIDEO: KADA WA CCM - NITAKUFA KWA KUITETEA TANZANIA

Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB

NOTICE TO SUCCESSFUL LOAN APPLICANTS FOR 2013/2014 ACADEMIC YEAR

The Higher Education Students’ Loans Board is hereby announcing names of successful first time loan applicants for 2013/2014 Academic Year who applied and were eligible for student loans.

Nigeria attack: Suspected Islamist gunmen target college


School in Mamudo, Aug 2013  

Zitto Kabwe na Ya Gazeti la Mtanzania

Absalom Kibanda Mhariri Mkuu wa gazeti la Mtanzania aliyenusurika kuwawa baada ya kuteswa kwa kung'olewa kucha, meno, jicho na vidole sasa anakuwa hana kazi kwa miezi 3 baada ya gazeti lake kufungiwa na Serikali. Wamemkosa kwa kumtesa sasa wanafuata kwenye kazi yake. Hawataki kumwua Kibanda kwa njaa, wanataka kuwanyima habari Watanzania. Wanataka tusome Uhuru na HabariLeo tu. 

Unafungia gazeti la mwananchi eti kwa kuandika kuhusu mishahara ya Serikali, wapuuzi hawa hawajui mishahara ni kodi za wananchi na wana nchi wana haki ya kujua mishahara ya watumishi wao. Serikali lazima ijutie uamuzi huu wa kibabe na kidikteta. Kama hupendi habari ya gazeti nenda mahakamani. Kufungia gazeti ni tendo la woga. Cowards behave this way

Death toll in Sudan fuel protests rise

The Stream - Child empowerment or sexualisation?

Blast kills dozens in Pakistan's Peshawar

 

Hungary moves to criminalise the homeless

 

Kamati ya Moyo yatoa masharti Katiba Mpya

PICHA: Dr. Slaa akutana na majeruhi wa Vita ya Afghanistani; Ajifunza kuhudumia maveterani wetu


Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Dr. Wilbrod Slaa amesema kuwa Tanzania ina jukumu la kuhakikisha kuwa inatoa huduma muafaka kwa majeruhi wake wa kivita na wanajeshi ambao wanapata madhara wakiwa kazini. Dr. Slaa amesema hayo baada ya kukutana na wanajeshi wa Marekani ambao walijeruhiwa vibaya katika vita huko Afghanistani kwenye hospitali ya Kijeshi ya Walter Reed huko Bethesda Jimbo la Maryland.

Ugaidi Kenya: Kibao chawageukia mawaziri

Serikali yafungia magazeti ya Mwananchi, Mtanzania

On the trail of al-Shabab’s Kenyan recruitment 'pipeline'

Makaburi praying  

DC wa Mbulu awapigia magoti wananchi

Berlusconi ministerial resignations spark Italy crisis


Greece crackdown: Golden Dawn leader Michaloliakos charged


Malalamiko ya Wanepali nchini Qatar yanaoana na ya Mtanzania Abdul nchini Yemen

  28/09/2013 
 Picture

KATUNI

Picture

Tamko la Serikali la kuyafungia kuchapishwa magazeti ya Mwananchi na Mtanzania 28/09/2013

Serikali imeyafungia kutochapishwa Magazeti ya MWANANCHI na MTANZANIA kuanzia 27 Septemba, 2013 kutokana na mwenendo wa magazeti hayo kuandika habari na makala za uchochezi na uhasama kwa nia ya kusababisha wananchi wakose imani kwa vyombo vya dola hivyo kuhatarisha amani na mshikamano ulipo nchini.

SERIKALI YAYAFUNGIA MAGAZETI YA MWANANCHI NA MTANZANIA KUANZIA TAREHE 27.09.2013

 Katika harakati za kutaka kujiokoa katika MTEGO wa WAPINZANI baada ya kubaini mwitikio mkubwa wa watu siku ya Tarehe 10/10/2013 katika MANDAMANO makubwa ya Kihitoria,

SERIKALI sasa imeyafungia kwa muda MAGAZETI ya MWANANCHI, MTANZANIA, na MAJIRA,

Labda tutoe pongezi kwa VIONGOZI hawa Prof Ibrahimu Lipumba Bingwa wa Uchumi Duniani, Freeman Mbowe Mwanasiasa Machachari na James Mbatia Mhandis (Eng)
Kutokana na Serikali kubanwa katika swala hili la KATIBA sasa hata kama kunakosa alifanya Marehemu BIBI yako linatosha kukutia MATATANI,

Watanzani wanzagu asibaki mtu nyumbani siku ya 10/10/213

Tanzania yashtukia mtego jeshi la pamoja EAC

28th September 2013

Serikali kukopesha wanafunzi 29,754 elimu ya juu


28th September 2013

Cosmas Mwaisobwa

Fastjet kuwasafirisha bure abiria waliokwama kwenda Afrika Kusini


28th September 201

HUKUMU

Washtakiwa kesi ya EPA toka kushoto Bahati Mahenge, Manase Mwakele na Eddah Mwakale wakiwa mbele ya Mahakama ya Kisutu kusomewa shitaka lao na kufungwa jela.

Fighting terrorism should focus on preventive measures


28th September 2013

Degree courses for eye specialists


27th September 2013

Kurasa, 28 Sep 2013

JK: I'll order TPDF to fight poaching


28th September 2013
President Jakaya Kikwete

New report: Mandatory pregnancy testing for girls violates human rights


28th September 2013

Official retirement card to Lieutenant General Sylvester Ryoba

Chief of Defence Forces (CDF) General Davis Mwamunyange (R) presents an official retirement card to Lieutenant General Sylvester Ryoba during a farewell ceremony held at Twalipo Military Barracks, off Kilwa Road in Dar es Salaam yesterday. Ryoma has retired from the army. (Photo: Courtesy of TPDF)

Njia panda ya JK: Maslahi ya Chama au wananchi?