Tuesday 17 September 2013

MAJANGA: KISA CHA BALOZI WA CHINA NA KOFIA YA CCM

Mkurugenzi wa Masuala ya Bunge wa Chadema, John Mrema (kushoto) akionyesha picha ya Balozi wa China nchini, Dk. Lu Youqing, akitambulishwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho mkoani Shinyanga. Kulia ni Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa Chadema, Ezekia Wenje.