Thursday 12 September 2013

Maofisa wa Wizara ya NIshati na Madini Wapata ajali huko Musoma.


Taarifa zilizotufikia na kuripotiwa na Vituo vyetu, Radio One na ITV kwa pamoja zinasema kwamba, Maofisa 4 wa Wizara ya NIshati na madini wamepata ajali mbaya walipokuwa wakisafiri kutoka Musoma kwenda wilayani Buniama Mkoa wa Mara. Imeripotiwa kwamba Gari walilouwa wakisafiria lilipinduka mara 3.
Taarifa hii na George Marato Musoma - Mara.
 
 
SOURCE. ITV-DAIMA