Tuesday 17 September 2013

PICHA. BUNDUKI ILIYOTUMIKA KATIKA MAUAJI YA ERASTO MSUYA YAPATIKANA

HABARI: Bunduki aina ya SMG yenye namba za usajili KJ10520 inayoaminika kufanya mauaji ya bilionea Erasto Msuya imekamatwa na jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro.


Pia watuhumiwa wanne waliokamatwa wakidaiwa kuhusika katika mauaji hayo ni Sadick Mohammed Jabir, Karim Issa Kihundwa, Joseph Damas Mwakipesile na Jalila Zuberi Said

Aidha pikipiki inayodaiwa kutumika katika mauaji hayo pia imekamatwa na namba zake za usajili ni T751 CKB