Sunday, 15 September 2013

UPDATE: Press Conference ya vyama vya CUF, CHADEMA NA NCCR- MAGEUZI leo 15.09.2013



Hii ilikuwa leo katika hotel ya Courtyard Dsm , wameamua kuweka wazi juu ya katiba na mwelekeo wa pamoja.

Wenyeviti wa vyama vya Siasa vya CHADEMA, CUF na NCCR-Mageuzi leo wamekukutana na wahariri na waandishi wa habari kueleza mikakati na mbinu watakazozitumia kunusuru taifa lisiingie kwenye utungaji wa Katiba mpya itakayobeba masilahi ya chama tawala.

Taarifa zaidi za kilichoongelewa zitafuatia
more information to come...........................