Baada ya bondia na footballer sasa musichana ya movie (maana kila asiyekuwa na address mjini sasa anataka awe muigizaji ili atoke khaa ) na toto ya town imekwisha Brazil eeh wasichana nyie wadogo mna mambo makuu jamani hizi lace wig, peruvian, simu za bei ya juu, vitz mbona zitawapeleka pabayaa??

Ndugu kama hamjawasiliana na ndugu yenu huyu kaeni mkao wa kula kupokea bad news (sioni huruma maana kapenda mwenyewe kuwa punda) hivi kila siku hamuoni TV/News Paper na Blogs zikiandika kwamba hali ya hewa ni mbaya ?? mara meli, mara wengine wamekamatwa Ethiopia daah mnawapa wengine ugumu wanaosafiri na Passport za ki Tanzania full kuangaliwa mpaka sehemu zisitakiwa.

NB
wale wasichana wanaoshawishiwa kuwa mapunda na makontena na wengine wanathubutu kwenda kwa waganga kupewa dawa ili wasishikwe USIJARIBU hakuna cha mganga wala nini, tulizana na tafuta plan B ya maisha na nini cha kufanya please i beg nisiposisitiza hivi tutapoteza wengi.