Saturday, 22 June 2013

Unanswered questions after spate of grenade attacks


 
By The Citizen Reporters  (email the author)

Posted  Wednesday, June 19  2013 at  19:04
In Summary
We’re not sure whether defence and security organs have the capacity to prevent attacks such as those happening in Arusha and investigate the incidents after they happen.

SOMA ALICHOKIANDIKA ZITTO KABWE TWEETER KUHUSU KAULI YA PINDA



PM under fire over remark



                   
PM Mizengo Pinda 
By Julius Bwahama, The Citizen Reporter  (email the author)

Posted  Saturday, June 22  2013 at  08:54
In Summary
“It is unfortunate. It is a statement not expected from a PM. That is similar to the declaration of war,” said Prof Gaudence Mpangala, a senior political science and public administration lecturer at the University of Dar es Salaam.

EU: Act swiftly on Arusha


Ambassador Filiberto Sebregondi, Head of the Delegation of the EU to East Africa 

Mlipuaji bomu Arusha

Mtoto ambaye alijeruhiwa kwenye mlipuko wa bomu Arusha 
Na Waandishi Wetu, Mwananchi  (email the author)

Posted  Juni22  2013  saa 8:15 AM
Kwa ufupi
Mlipuko huo ulitokea katika Viwanja vya Soweto kwenye mkutano wa kuhitimisha kampeni za udiwani jijini humo na kusababisha vifo vya watu wanne na majeruhi zaidi ya 100.

Taswira: Hatimae Chadema Arusha wamzika kiongozi wao aliyelipuliwa na bomu; Wabunge wengi wahudhuria

HABARI ZA SASA KWA UFUPI

 
 





DSC07516

Friday, 21 June 2013

TZ voted Africa’s best safari country


Dar to host First Ladies summit

By TheCitizen Reporter 
Posted  Thursday, June 20  2013 at  20:07
In Summary
 
  • With the support from ExxonMobil, the Summit will bring together African First Ladies, government officials, private organisations, NGOs and academics to discuss best practices.

Lwakatare sasa awaponda polisi

Na Phinias Bashaya, Mwananchi  (email the author)

Posted  Alhamisi,Juni20  2013  saa 21:55 PM
Kwa ufupi

Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare, amesema mfumo wa kuwatafuta wahalifu ndani ya Jeshi la Polisi ni dhaifu kwani pamoja na kutuhumiwa kwa  ugaidi matukio hayo yameendelea kuitikisa nchi katika maeneo mbalimbali.

SIRI YAFICHUKA. CHADEMA WATHIBITISHA KUTUMIA MITAMBO MAALUM YA DVR KUMNASA MLIPUAJI WA BOMU LA ARUSHA!

Imethibitika kwamba technology ya mawasiliano hivi sasa imekua kwa kasi ya ajabu sana, kiasi chakufikia kuwa kumbe

siyo lazima tutegemee camera za waandishi wa habari kuchukua matukio.
Ni kwamba chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kwenye mkutano wake wa mwisho licha ya kutumia SATELLITE kurekodi mikutano yake, imethibitika kuwa chama hicho kilitumia mtambo maalum wa mawasiliano kurekodi mkutano wake wa mwisho katika uwanja wa soweto Arusha. Mtambo huo ambao unauwezo wa kurekodi matukio kwa masaa 72 mfululizo bila kuhitaji chaji, ulifungwa sehemu maalum ili kuweza kunasa matukio yaliyokuwa yanaendelea kwenye mkutano.

Kibonzo cha Masoud Kipanya.

                                               

Uchaguzi Arusha Juni 30

Na Patricia Kimelemeta,  (email the author)

Posted  Alhamisi,Juni20  2013  saa 21:53 PM
Kwa ufupi
  • Mkurugenzi wa NEC,Julius Malaba alisema jana Dar es Salaam kuwa kutokana na hali hiyo, wananchi wa eneo hilo wanapaswa kwenda kwenye vituo vya kupigia kura,ili waweze kuhakiki majina yao ili kuondoa usumbufu siku ya kupiga kura.Aliongeza kuwa kutokana na hali hiyo wananchi wa eneo hilo wametakiwa kutulia kwenye makazi yao mpaka uchaguzi utakapofanyika tena.

Nassari: Lowassa anahusika kunipiga

Mbunge wa Arumeru Mashariki(Chadema) Joshua Nassari akiwa amelazwa katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (Moi), jana, baada ya kuhamishwa kutoka Arusha kwa ajili ya kupata matibabu zaidi baada ya kuumizwa kwenye vurugu za uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Makuyuni mkoani Arusha.Picha na Silvan Kiwale 
Na Beatrice Moses  (email the author)

Posted  Alhamisi,Juni20  2013  saa 21:28 PM
Kwa ufupi
  • Amemtuhumu pia Spika wa Bunge, Anne Makinda kuwa miongoni mwa watu wanaomchukia .

IDD SIMBA afutiwa kesi ya UDA


 
Na Tausi Ally  (email the author)

Posted  Jumatano,Juni19  2013  saa 20:45 PM
Kwa ufupi
  • DPP anapoona hana mashahidi thabiti wa kuja kujenga kesi yake anatumia kifungu hicho kufuta kesi kwani kuendelea kuwa na kesi za jinai mahakamani ambazo anaona kabisa hana mashahidi thabiti wa kuwaleta mahakamani ni matumizi mabaya ya sheria na kuisababishia Serikali gharama pamoja na mrundikano wa kesi mahakamani

Mbowe, Lema wahojiwa, Mbowe asema atakabidhi ushaidi kwa tume huru ya mahakama na sio polis


 
Na Peter Saramba na Elias Msuya, Mwananchi  (email the author)

Posted  Alhamisi,Juni20  2013  saa 21:15 PM
Kwa ufupi
  • “Chadema tuko tayari kukabidhi ushahidi huu kwa tume huru ya uchunguzi ya Mahakama. Rais Kikwete atumie mamlaka yake ya kikatiba kuunda tume kuchunguza tukio la bomu Arusha ili ukweli ujulikane. Polisi ni watuhumiwa katika jambo hili, hivyo hawana dhamira safi na ushahidi wetu,”

Viongozi wetu chungeni ndimi, kauli zenu


 


Posted  Alhamisi,Juni20  2013  saa 22:11 PM
Kwa ufupi
  • Wote wameshambuliana na kutuhumiana kuhusu vyanzo au sababu za matukio hayo ambayo yamezidi kujitokeza na kuchafua sifa ya taifa hili.

Mizengo Pinda: Nasema wapigwe tu


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  

Na Waandishi Wetu  (email the author)

Posted  Alhamisi,Juni20  2013  saa 20:57 PM
Kwa ufupi
Lazima tuwakamate na kama katika kuwakamata watafanya jeuri, jeuri, watapigwa tu kabla ya kupelekwa tunapotakiwa kuwapeleka, kwa sababu hatuwezi kuendelea na hali hii, mkadhani kwamba tutafika tunapokwenda.

Wednesday, 19 June 2013

Kibonzo: Mkoa huu Mashuhuri kwa....?

Mbowe:Walitaka kuniua , Mwema na Kikwete watoa Pole kwa Mbowe.








Jumatatu, Juni 17, 2013 05:52 Abraham Gwandu na Eliya Mbonea
*IGP Mwema aunda kikosi kazi
   *JK awatumia pole Chadema

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe
MWENYEKITI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Freeman Mbowe amesema tukio la mlipuko wa bomu lililoua watu wawili juzi mkoani Arusha, lilimlenga yeye na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Arusha jana, Mbowe alisema bomu hilo ambalo liliambatana na milio ya risasi lilikusudiwa wazi kuondoa uhai wake, jambo ambalo ni hatari kwa uhai wa taifa.

Kenya kutumia ndege zisizo na marubani kuzuia waingizaji wa silaha za magendo, al-Shabaab

Na Bosire Boniface, Garissa

Kenya inajiandaa kusambaza ndege zisizo na marubani aina ya 'drones' kama sehemu ya operesheni za usalama zilizoongezwa katika mipaka yake na Somalia na Ethiopia kufuatilia na kukomesha harakati za al-Shabaab na waingizaji wa silaha za magendo, maofisa usalama waliiambia Sabahi.

                                         drone

Mh. Sugu apata ajali akielekea Arusha. Gari lake lagongana uso kwa uso na basi la abiria

                                               sugu-joseph-mbilinyi
Kwa mujibu wa eddymoblaze blog na vyanzo vingine mbalimbali, mbunge wa Mbeya mjini, Mh. Joseph Mbilinyi “Sugu” amepata ajali ya barabarani wakati akielekea Arusha.
Ripoti hizo zinasema kuwa gari la Mh. Mbilinyi limegongana uso kwa uso na basi la abiria.
Ajali hiyo imetokea katika wilaya ya Hanang’, na taarifa hizo zinasema Sugu hajadhurika kwenye ajali hiyo.

Saida Karoli azushiwa kifo

Taarifa: Saida Karoli yuko hai. Kweli ajali ya boti imetokea lakini Saida hakuwemo

                                       saida-karoli

Yaliyotokea Arusha yanahitaji Tume Huru

Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) pamoja na askari kutoka Chuo cha Mafunzo ya Polisi (CCP) Moshi wakiwa kwenye Uwanja wa Soweto, Arusha kuwadhibiti waombolezaji waliofika kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kwa watu watatu waliopoteza maisha kwenye mlipuko wa bomu uliotokea Jumamosi iliyopita. Picha na Filbert Rweyemamu 

Pinda: Bomu lililotumika imetengenezwa China


 
Na Peter Saramba na Mussa Juma,  (email the author)

Posted  Jumanne,Juni18  2013  saa 20:21 PM
Kwa ufupi
  • Hatua hiyo imekuja huku Chadema nacho kikiwa kimetangaza kushughulikia mazishi ya wananchi hao kwa kuwa walifariki katika shambulio lililotokea kwenye mkutano wao.

Mtuhumiwa mauaji ya Padri Mushi azidi kusota rumande


 
Na Mauwa Mussa,  (email the author)

Posted  Jumatatu,Juni17  2013  saa 20:33 PM
Kwa ufupi
  • Mahakama hii haichukui vielelezo vya barua za nje ya chombo hiki. Mtu anayeweza kusema kila kitu ni mkurugenzi wa mashtaka, yeye ndiye mwenye dhamana ya kuondoa kesi mahakamani

Serikali yanyooshea kidole wanasiasa mlipuko wa Arusha


“Sote tunajiuliza kwa nini wananchi waliwashambulia na kuwazuia askari wasitimize wajibu wao, badala ya kuwasaidia ili wamkamate mhalifu. Je, ilitokea kwa bahati mbaya au ilipangwa?” Waziri William Lukuvi 
Na Waandishi Wetu  (email the author)

Posted  Jumatatu,Juni17  2013  saa 20:30 PM
Kwa ufupi
  • Ni kuhusu mlipuko wa bomu uliotokea katika mkutano wa kuhitimisha kampeni za Chadema mjini Arusha.

Polisi wawashukia Mbowe, Lema na Nape

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe 
Na Waandishi Wetu  (email the author)

Posted  Jumanne,Juni18  2013  saa 20:18 PM
Kwa ufupi
  • Kamishna Chagonja alisema: “Baada ya bomu kurushwa na kulipuka, polisi walianza kukimbilia eneo la tukio lakini vijana wa Chadema wakaanza kuwashambulia polisi ambao walilazimika kujihami.”

Arfi, Lissu watiwa mbaroni Arusha

 
Na Waandishi Wetu  (email the author)

Posted  Jumanne,Juni18  2013  saa 21:2 PM
Kwa ufupi
Tuna muda mfupi sana wa kuzungumza hapa, tunaomba wote tuelekee Hospitali ya Mount Meru kuaga miili ya marehemu kwa sababu uwanja huu umezuiwa na polisi.

Tuesday, 18 June 2013

DAU MIL 100 KWA MTU ATAKAYE WEZESHA KUPATIKANA KWA MLIPUAJI WA BOMU


 Arusha.
Serikali imetangaza kutoa zawadi ya Shilingi milioni 100/= kwa mtu yeyote atakayesaidia kukamatwa kwa washukiwa wa milipuko ya mabomu inaoendelea mara kwa mara katika siku za hivi karibuni sasa nchini.

USALAMA WETU UKO SHAKANI


 
Majeruhi wa mlipuko wa bomu uliotokea jijini Arusha. 


Posted  Jumatatu,Juni17  2013  saa 21:51 PM
Kwa ufupi

Kwanza tunawapa pole wale wote ambao wameguswa kwa namna moja au nyingine na tukio hili; wale walioondokewa na wapendwa wao, waliojeruhiwa na uongozi wa Chadema.

‘Waislamu hawana uadui dhidi ya Wakristo’

Kwa ufupi  Kauli hiyo ilitolewa juzi na Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (Bakwata) mkoani Mwan za, Sheikhe Salumu Bara.

Mlipuko Soweto-ArushaMtoto: Nilipigwa risasi na polisi

 
 
Na Waandishi Wetu,  (email the author)

Posted  Jumatatu,Juni17  2013  saa 20:45 PM
Kwa ufupi
“Namkumbuka aliyenipiga risasi alikuwa amevaa sare za polisi,” alisema Adam mwanafunzi katika Shule ya Msingi Levolosi huku akitokwa machozi.

Monday, 17 June 2013

MADIBA:: Usinipigie simu, nitakupigia mimi


Kwa ufupi
Pamoja kuwa nje ya ulingo wa siasa, ameendelea kuwa kiongozi anayeheshimika na mchango wake wa mawazo umekuwa ukithaminiwa duniani kote.

CCM yazoa viti vingi vya udiwani

                  
Nassari 


Posted  Jumatatu,Juni17  2013  saa 8:21 AM
Kwa ufupi
Nassari alivamiwa, kupigwa na kujeruhiwa sehemu mbalimbali mwilini na watu wanaodaiwa kuwa viongozi na wafuasi wa CCM.

DPP kukata rufaa kupinga dhamana ya Lwakatare Mahakama Kuu

 
Lwakatare (anayeonyesha alama ya V) na mfuasi wake mahakamani. 
Na James Magai na Tausi Ally, Mwananchi  (email the author)

Posted  Jumatatu,Juni17  2013  saa 8:42 AM
Kwa ufupi
 Katika maombi hayo, DPP anaiomba  mahakama hiyo iitishe majalada ya kesi hiyo na kuchunguza uhalali wa uamuzi wa Mahakama Kuu, uliotolewa na Jaji Lawrence Kaduri, kuwafutia washtakiwa hao mashtaka ya ugaidi.

Utata bomu la Arusha

 
 na Venance Nestory 
Na Waandishi Wetu, Mwananchi  (email the author)

Posted  Jumatatu,Juni17  2013  saa 8:27 AM
Kwa ufupi
Mbowe aeleza dakika 15 zilivyomsaidia yeye na Lema  kunusurika kulipuliwa, uchunguzi wa awali waonyesha ni la kurusha kwa mkono

Sunday, 16 June 2013

Nelson Mandela 'recovering well' - grandson

                                Former South African President Nelson Mandela in 2012 
 BBC News:

 Mr Mandela was taken to hospital last week for the third time this year
Former South African President Nelson Mandela is "recovering well" in hospital, his grandson says.
Mr Mandela is spending his eighth day in hospital in the capital, Pretoria, to receive treatment for a recurring lung infection.

Economists fault Mgimwa’s budget

By  Ludger Kasumuni, The Citizen Reporter  (email the author)

Posted  Saturday, June 15   2013 at  09:24
In Summary
They said although some exemptions have been done away with, still big companies continue to enjoy tax holidays which have nothing to do with increasing tax base in terms of attracting more investors.

Panic as deadly blast rocks Arusha again


                 
The scene where yesterday explosion occurred a few minutes before the closing of the Chadema campaign meeting. Photo IStaff photographer 
In Summary
Regional police commander Liberatus Sabas spoke of the casualties being a man and a woman, but an additional information indicates that Mount Meru Hospital had received the body of a child.

Kolamu Makengeza: Serikali Tatu: Tusiwe watumwa wa historia

                                                  
 
Na Maggid Mjengwa  (email the author)

Posted  Jumapili,Juni16  2013  saa 12:16 PM
 
Kwa ufupi
Naam, umefika wakati wa kuukubali ukweli, kuwa kwa muundo huu wa Muungano tulio nao sasa, siku zote kutakuwa na manung’uniko. Kuukataa ukweli huu ni sawa na kufagilia takataka chini ya jamvi. Iko siku jamvi lazima liinuliwe na uchafu huo utaonekana tu.

Habari Kuu : Ugaidi tena Arusha, bomu lajeruhi na kuua

                   
                       


Mama akikimbizwa hospitali kupata matibabu 
Na Mussa Juma na Moses Mashala, Mwananchi  (email the author)

Posted  Juni15  2013  saa 23:36 PM
Kwa ufupi
Bomu hilo lililipuka jana saa 11:50 dakika chache kabla ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Freeman Mbowe kumaliza kuhutubia mkutano huo uliofanyika katika Viwanja vya Soweto mjini Arusha na kuhudhuriwa na mamia ya wananchi.

Saturday, 15 June 2013

BOMU LALIPUKA ARUSHA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA NA KUJERUHI WATU KADHAA LEO

Hali siyo shwari polisi wanalipua mabumu watu wamejeruhiwa

Bomu lililolipuka limejeruhi watu sana. Inaonekana bomu lilitegwa karibu na gari la matangazo.

Mtoto aliyelipukiwa na bomu amefariki uwanjani.
 Tutawajulisha taarifa zikiendelea kutufikia









Mangula: CCM haitakiwi kutoa maoni

 
Na Florence Majani, Mwananchi  (email the author)

Posted  Ijumaa,Juni14  2013  saa 13:4 PM
Kwa ufupi
Akichambua baadhi ya vipengele vya rasimu hiyo, Chikawe  alisema haoni kama ni vyema katiba kuruhusu wananchi kumvua ubunge, mbunge ambaye hajatimiza wajibu wake kwani hali hiyo itazua vurugu na fitina.

Mtikila ashinda kesi ya 'ugombea huru' Mahakama ya Haki za Binadamu Africa

                              
Kwa ufupi
  • Katika hukumu iliyosomwa leo jioni, mahakama imesisitiza kuwa kwa kulazimisha viongozi watoke vyama vya siasa, Tanzania inawanyima wananchi wake fursa huru ya kushiriki kwenye uongozi

Arusha. Mwanasiasa mkongwe nchini Christopher Mtikila ameshinda kesi aliyofungua Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika (AfCHPR) mjini Arusha akidai Tanzania inakiuka demokrasia inapozuia wagombea binafsi.
Katika hukumu iliyosomwa leo jioni, mahakama imesisitiza kuwa kwa kulazimisha viongozi watoke vyama vya siasa, Tanzania inawanyima wananchi wake fursa huru ya kushiriki kwenye uongozi.
Mchungaji Mtikila, ambaye ana historia ndefu ya kukwaruzana na serikali ya Chama Cha Mapinduzi, alifungua shauri mahakama ya Afrika mwaka 2011 baada ya jitihada zake za kupindua mabadiliko ya kikatiba yaliyofuta ugombea binafsi kugonga mwamba kwenye mahakama za kitaifa.  

CHADEMA YAKANA TUHUMA ZA KUUA WATU..

 
Singo Kigaila.
Huku kukiwa na madai kuwa Chadema inahusika na matukio ya kula njama za utekaji na kuteka, kupiga na kuua watu, chama hicho kimekuja juu na kukanusha madai hayo.

MREMA AKABIDHI URAIS KWA LOWASSA 2015

 

Augustine Mrema (kushoto) na Edward Lowassa.
Mwenyekiti wa TLP, Augustine Mrema amesema biashara ya kugombea urais mwaka 2015 haiwezi kamwe na ametaka ifanywe na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.

Friday, 14 June 2013

Waraka wa Wilfred Lwakatare: Mrejesho kutoka mahabusu Segerea

 
Sina budi kumshukuru sana mwenyenzi Mungu kwa kunitendea mema na zaidi ya yote kunipa uhai na afya hadi sasa. Wanasema “shukuruni katika yote” na mimi nalazimika kushukuru kwa yale yote niliyofunuliwa na kuwa sehemu ya ushuhuda wangu katika maisha niliyobakiza hapa duniani.

What’s wrong with Africa?

June 4, 2013

By
Africa infographics
My continent, my motherland and it can’t stop giving me headache, stress, frustration and disappointment even at the time when we are told by the optimists of this world that this is time for Africa.

White House cancel Obama safari in Tanzania

 

WASHINGTON, Jun 14 – The White House has canceled a safari that US President Barack Obama and his wife Michelle were due to take in Tanzania over budgetary concerns, The Washington Post reported on Thursday.
The newspaper, citing a Secret Service planning document, said the excursion scheduled during a tour of Africa that Obama will undertake later this month would have required agents protecting him to take extraordinary precautions.

Kinana amfungulia mashtaka Mch. Msigwa.

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdul-rahman Kinana amemfungulia kesi Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa (Chadema), kutokana na kumtuhumu anajihusisha na ujangili na biashara haramu ya pembe za ndovu.

Maisha ya ndoa ya Mzee Madiba

 
Mzee Nelson Mandela akifurahia jambo na wajukuu zake 
Na Mwandishi Wetu,Mwananchi  (email the author)