Friday 18 October 2013

NA HUKU NI MAJONZI



Dada mkubwa wa marehemu,Anthery Mushi aliyekuwa mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa akiuaga mwili wa mdogo kwenye chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam jana.