Tuesday 22 October 2013

Washtakiwa wa kosa la ugaidi

Baadhi ya washtakiwa wa kosa la ugaidi wakishuka kutoka katika gari la polisi kuelekea Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Mtwara wakiwa chini ya ulinzi mkali kwenda kusomewa mashtaka yanayowakabili jana.