Monday 21 October 2013

Msaragambo wa kusomba mawe

Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stevenn Ngonyani (Profesa majimarefu) (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe, Lucas Mweri, wakishiriki msaragambo wa kusomba mawe kwa ajili ya ujenzi wa maabara ya Shule ya Sekondari ya Patema iliyopo Kata ya Mpale Tarafa ya Bungu.