Tuesday 16 July 2013

Picha za matukio mbali mbali huko Darfur-Sudan, miili ya asikari wa Tanzania.








Capt. John Kivunge,akitoa maelezo mafupi wakati wa kuaga miili hiyo huko Darfur, Sudan

Wanajeshi wakito heshima zao za mwisho kwa wanajeshi 7 waliofarik
Baadhi ya majeruhi wa tukio hilo wakiwa hospital

Miili ikiweka kwenye gari tayari kwa safari ya kurejea nchi Tanzania
— in Darfur, Sudan.
Wanajeshi walinda amani huko Darfur
— in Darfur, Sudan.
Mmoja wa majeruhi wa tukio hilo akiwa hospitali
— in Darfur, Sudan.
Miili ikiweka kwenye gari tayari kwa safari ya kurejea nchi Tanzania
— in Darfur, Sudan.Miili ya wanajeshi saba wa JWTZ waliouawa katika machafuko nchini Sudani, Darfur. Askari hao walifariki wakiwa kwenye vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa huko nchini humo
Miili ya wanajeshi saba wa JWTZ waliouawa katika machafuko nchini Sudani, Darfur. Askari hao walifariki wakiwa kwenye vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa huko nchini humo
— in Darfur, Sudan.