Na Mwandishi wetu.
Julai 23,2013.
Jana, Rais J. Kkikwete alikutana na viongozi wa chama cha makampuni ya simu na kuzungumza kwa kina juu ya pendekezo la simu kadi. Pendekezo hili limezua gumzo na sintofahamu miongoni mwa wananchi wengi na wengi wao wakiwa wa kipatao cha chini.
Inaonekana serikali inaelekea kushindwa kutetea hoja yake ya kuanzisha kodi hiyo. Ina imeripotiwa kuwa Raisi ametoa wito wa wadau wote kuliangalia upya swala hili kwa upana na kwa haraka.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa wajumbe wa Chama cha
Makampuni ya Simu za mkononi na Bw. Manoj Kohli wa Airtel ambaye pia ni
Mkurugenzi wa Pamoja wa chama hicho alipokutana nao kwa mazungumzo Ikulu
jijini Dar es salaam leo Julai 23, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bi Beatrice Singano, mmoja
wa wajumbe wa Chama cha Makampuni ya Simu za mkononi alipokutana nao
kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 2
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na maofisa waandamizi wa
Wizara ya pamoja na wajumbe wa Chama cha Makampuni ya Simu za mkononi
alipokutana nao kwa mazuangumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 23,
2013
PICHA NA IKULU