Soma hili Tangazo na mtaarifu  mwenzako pia!
Ninahitaji mdada wa ku share nae chumba awe muaminifu tu, chumba ni 
kikubwa na pia kiko na wireless internet,naishi Kanseleren student House
 -Tøyenkirkken.Nalipa 3224 kr kwa mwezi,awe tayar ku share     nusu kwa 
nusu.
kwa maelezo zaidi, 
Nipigie  96743293 /94728060
 au niandikie kwa email  nataemsuya2011@gmail.com
Nashukuru. 
PRO.
